找歌词就来最浮云

《Ewe Wangu》歌词

所属专辑: Malaika 歌手: Fadhili William 时长: 02:41
Ewe Wangu

[00:00:00] Ewe Wangu - Fadhili William

[00:00:09] Ewe wangu

[00:00:12] Mbona wanisumbua

[00:00:16] Ewe wangu

[00:00:20] Mbona wanisumbua

[00:00:23] Ninatoka kwetu mbali

[00:00:27] Kukufata wewe

[00:00:30] Ninatoka kwetu mbali

[00:00:34] Kukufata wewe

[00:00:37] Ee kipenzi nisikize

[00:00:41] Ee kipenzi nisikize kipenzi changu

[00:00:45] Mama tungali vijana

[00:00:50] Ewe wangu wee usinisumbue

[00:00:57] Utakuja juta ee unikumbuke

[00:01:04] Ewe wangu wee usinisumbue

[00:01:11] Utakuja juta ee unikumbuke

[00:02:13] Ewe wangu

[00:02:16] Mbona wanisumbua

[00:02:20] Ninatoka kwetu mbali

[00:02:23] Kukufata wewe

[00:02:27] Ninatoka kwetu mbali

[00:02:30] Kukufata wewe

[00:02:34] Ewe wangu wee

[00:02:37] Usinisumbue

您可能还喜欢歌手Fadhili William的歌曲:

随机推荐歌词: