找歌词就来最浮云

《Sitarudi》歌词

所属专辑: Sitarudi Kuwa Vile 歌手: Hellenah Ken Kitheka 时长: 08:08
Sitarudi

[00:00:00] Sitarudi - Hellenah Ken Kitheka

[00:00:09] Ummmm sitarudi vile tena

[00:00:15] Nakataa kuwa vile tena

[00:00:18] Muda mwingi nimekuwa chini

[00:00:21] Nimeamua sasa ni wakati wa kuinuliwa

[00:00:28] Sitarudi kuwa vile sitarudi kuwa vile

[00:00:34] Oooh sitarudi kuwa vile sitarudi kuwa vile

[00:00:41] Ooooh kwa uwezo wake roho sitarudi kuwa vile

[00:00:49] Mimi nakataa kudharauliwa sitarudi kuwa vile

[00:00:56] Eee h nakataa Maisha ya chini

[00:01:00] Sitarudi kuwa vile

[00:01:03] Eee h nakataa Maisha ya chini

[00:01:08] Sitarudi kuwa vile

[00:01:10] Kwani baba amenikumbuka sitarudi kuwa vile

[00:01:17] Oooh baba amenikumbuka sitarudi kuwa vile

[00:01:25] Eeeee h mimi ni mbarikiwa sitarudi kuwa vile

[00:01:32] Aaah mimi ni mbarikiwa sitarudi kuwa vile

[00:01:39] Aaah mimi ni mbarikiwa sitarudi kuwa vile

[00:01:47] Huu ni mwaka wa bwana amenitendea mengi

[00:01:55] Nahisi moyoni mwangu baba amenikumbuka

[00:02:02] Mwaka jana niliteseka sitarudi pale tena

[00:02:09] Huu ni mwaka wa bwana amenitendea mengi

[00:02:16] Nahisi moyoni mwangu bwana amenikumbuka

[00:02:23] Mwaka jana niliteseka sitarudi pale tena

[00:02:38] Sitarudi kuwa vile sitarudi kuwa vile

[00:02:44] Oooh sitarudi kuwa vile sitarudi kuwa vile

[00:02:52] Ooo h kwa uwezo wake roho sitarudi kuwa vile

[00:02:59] Mimi nakataa kudharauliwa sitarudi kuwa vile

[00:03:06] Eee h nakataa Maisha ya chini

[00:03:10] Sitarudi kuwa vile

[00:03:13] Eee h nakataa Maisha ya chini

[00:03:17] Sitarudi kuwa vile

[00:03:20] Kwani baba amenikumbuka sitarudi kuwa vile

[00:03:27] Oooooh baba amenikumbuka sitarudi kuwa vile

[00:03:35] Eee h mimi ni mbarikiwa sitarudi kuwa vile

[00:03:42] Ee h mimi ni mbarikiwa sitarudi kuwa vile

[00:03:49] Aah mimi ni mbarikiwa sitarudi kuwa vile

[00:03:57] Ewe baba umeteseka huu ni mwaka wa bwana

[00:04:04] Baba amekukumbuka hakuna mateso tena

[00:04:12] Ya kale yamepita usirudi kule tena

[00:04:19] Ewe ndugu umeteseka huu ni mwaka wa bwana

[00:04:26] Bwana amekukumbuka hakuna mateso tena

[00:04:33] Ya kale yamepita usirudi kule tena

[00:04:48] Hautarudi kuwa vile hautarudi kuwa vile

[00:04:54] Baba hautarudi kuwa vile hautarudi kuwa vile

[00:05:01] Kwani Baba amekukumbuka hautarudi kuwa vile

[00:05:08] Eeeee h Baba amekukumbuka hautarudi kuwa vile

[00:05:16] Eeeh hautarudi kuwa vile hautarudi kuwa vile

[00:05:23] Kwani wewe ni mbarikiwa hautarudi kuwa vile

[00:05:30] Eeeh wewe ni mbarikiwa hautarudi kuwa vile

[00:05:39] Umeachwa bila makao mama yangu usilie

[00:05:45] Jehova shalom ametenda amerejesha amani

[00:05:53] Hautarudi pale tena Baba amekukumbuka

[00:06:00] Umeachwa bila makao mama yangu usilie

[00:06:07] Jehova shalom ametenda amerejesha amani

[00:06:14] Hautarudi pale tena Baba amekukumbuka

[00:06:29] Hautarudi kuwa vile hautarudi kuwa vile

[00:06:35] Baba hautarudi kuwa vile hautarudi kuwa vile

[00:06:43] Kwani Baba amekukumbuka hautarudi kuwa vile

[00:06:49] Eeeehh Baba amekukumbuka hautarudi kuwa vile

[00:06:57] Eeeh hautarudi kuwa vilee hautarudi kuwa vile

[00:07:04] Kwani wewe ni mbarikiwa hautarudi kuwa vile

[00:07:13] Ooo oooh hautarudi kuwa vile

[00:07:18] Eeeh hautarudi Ooo oooh hautarudi kuwa vile

[00:07:25] Ooooh jibe moyo hautarudi tena

[00:07:30] Hautarudi kuwa vile

[00:07:33] Eeh ndio hautarudi oooooh

[00:07:37] Oooh mama oooh hautarudi

[00:07:42] Ooo oooh hautarudi yeahh yeahh hautarudi rudi rudi rudi rudi

[00:07:52] Kuwa vile

您可能还喜欢歌手Hellenah Ken Kitheka的歌曲: