找歌词就来最浮云

《SIAMINI》歌词

所属专辑: SAUTI YA DHAHABU 歌手: T.I.D 时长: 04:49
SIAMINI

[00:00:00] SIAMINI - T.I.D

[00:00:03] Lyricist:Unknown

[00:00:06] Composer:Unknown

[00:00:09] Oh siamini

[00:00:12] Kama tuko wote

[00:00:14] Kama tuko wote

[00:00:17] Mimi na wewe

[00:00:19] Oh siamini

[00:00:22] Kama tuko wote

[00:00:25] Kama tuko wote

[00:00:28] Mimi na wewe

[00:00:31] Wajua pendo letu lilipotoka

[00:00:36] Ni mbali sana mpenzi siwezi sema

[00:00:41] Milima na mabonde mengi tumeshuka

[00:00:45] Oh maneno mengi walisema kote bara

[00:00:51] Na visiwani

[00:00:52] Oh oh oh

[00:00:54] Kindani cha moyo wangu

[00:00:57] Oh oh oh

[00:00:59] Sogea karibu yangu

[00:01:02] Oh oh oh

[00:01:05] Maneno ya kweli kwako

[00:01:10] Siamini

[00:01:12] Oh siamini siamini

[00:01:15] Kama tuko wote

[00:01:17] Kama tuko wote oh yeah

[00:01:20] Mimi na wewe wewe wewe

[00:01:22] Oh siamini siamini

[00:01:25] Kama tuko wote oh yeah

[00:01:27] Kama tuko wote wote wote

[00:01:30] Mimi na wewe oh yeah

[00:01:33] Taarifa hii timamu

[00:01:36] Kumbuka la kitimu timu

[00:01:38] Tulishanapowe jangwani

[00:01:41] Na mambo ya baharini

[00:01:44] Sijiwezi hasilani

[00:01:46] Mwenzio kwako taabani

[00:01:49] Oh oh oh

[00:01:52] Kindani cha moyo wangu

[00:01:54] Oh oh oh

[00:01:57] Sogea karibu yangu

[00:01:59] Oh oh oh

[00:02:02] Maneno ya kweli kwako

[00:02:07] Siamini

[00:02:09] Oh siamini oh yeah

[00:02:12] Kama tuko wote

[00:02:14] Kama tuko wote oh no no

[00:02:17] Mimi na wewe wewe

[00:02:19] Oh siamini siamini

[00:02:22] Kama tuko wote oh yeah

[00:02:25] Kama tuko wote

[00:02:28] Mimi na wewe wewe

[00:02:30] Hallo hallo

[00:02:31] Hebu nieleze manake natoka zangu zanzibari

[00:02:34] Nafika darisalama

[00:02:35] Kila kona nasikia siamini

[00:02:37] Kwani nani huyu kijana

[00:02:39] T I D allaa kumbe weye

[00:02:42] Yuwapiwee hallo hallo

[00:02:44] Yuwapi mamake harusi aje hapa tuhangaike naye

[00:02:49] Yuwapiyee

[00:02:52] Yuwapi babake harusi aje hapa tuhangaike naye

[00:02:57] Yuwapiwee

[00:03:00] Yuwapi kakake harusi aje hapa tuhangaike naye

[00:03:05] Aje hapa kwa raha zangu

[00:03:07] Eti aje hapa

[00:03:10] Semi aje hapa

[00:03:12] Sema tena aje hapa oh oh

[00:03:17] Oh siamini oh yeah

[00:03:20] Kama tuko wote wote

[00:03:22] Kama tuko wote oh yeah

[00:03:25] Mimi na wewe wewe

[00:03:27] Oh siamini

[00:03:30] Kama tuko wote wote wote

[00:03:33] Kama tuko wote oh yeah oh

[00:03:35] Mimi na wewe oh

[00:03:38] Oh siamini siamini

[00:03:41] Kama tuko wote oh

[00:03:43] Kama tuko wote wote wote

[00:03:46] Mimi na wewe oh yeah

[00:03:48] Oh siamini oh nah

[00:03:51] Kama tuko wote oh yeah

[00:03:54] Kama tuko wote wote

[00:03:56] Mimi na wewe oh yeah

您可能还喜欢歌手T.I.D的歌曲:

随机推荐歌词: