找歌词就来最浮云

《Nisamehe》歌词

所属专辑: Ipo Siku 歌手: Goodluck Gozbert 时长: 05:08
Nisamehe

[00:00:00] Nisamehe - Goodluck Gozbert

[00:00:10] Nimesamehe

[00:00:12] Yeah

[00:00:13] Nimesamehe

[00:00:15] Yeah

[00:00:16] Nimesamehe

[00:00:18] Baki na Amani

[00:00:21] Yeah

[00:00:22] Nimesamehe

[00:00:23] Yeah

[00:00:24] Nimesamehe

[00:00:26] Yeah

[00:00:27] Nimesamehe

[00:00:29] Ili nisamehewe

[00:00:34] Sisoneke moyoni

[00:00:37] Usijiumize na dunia hayafurahishi

[00:00:45] Ni wengi walioniumiza

[00:00:50] Kuuguza moyo wangu Ilinigharimu sana wazazi au

[00:00:57] Ndugu Rafiki mpenzi wanaweza kuumiza moyo wako

[00:01:07] Nilitunza mengi moyoni visasi

[00:01:13] Ila nasamehe baki na furahaa

[00:01:18] Wakati mzazi anaangaika kunitafutia chakulaa

[00:01:24] Hawakutaka kunisaidia

[00:01:29] Leo hii nimefanikiwa wanitaka

[00:01:35] Wamesahau aliwatafuta wakamtimua nenda

[00:01:40] Wajua ninamaumivu ya moyo

[00:01:43] Mengi katu siwezi sababu

[00:01:46] Ila Ninasamehe

[00:01:49] Ninasamehe

[00:01:52] Wala sio kwa ajili ya mtu

[00:01:55] Wala sio kwa ajili ya dunia

[00:01:57] Ila kwa moyo Wangu na amani ya Kesho

[00:02:03] Yeah

[00:02:03] Nimesamehe

[00:02:05] Yeah

[00:02:06] Nimesamehe

[00:02:08] Yeah

[00:02:09] Nimesamehe

[00:02:11] Baki na Amani

[00:02:14] Yeah

[00:02:14] Nimesamehe

[00:02:16] Yeah

[00:02:17] Nimesamehe

[00:02:19] Yeah

[00:02:20] Nimesamehe

[00:02:22] Ili nisamehewe

[00:02:37] Marafiki wengi huja ukiwa nazo zikiondoka hautowaona tena

[00:02:45] Hautowaona tena

[00:02:49] Niliharibu kwa ndugu zangu

[00:02:52] Kusimama na huyu mwenzangu

[00:02:54] Badaee akanisalitii

[00:03:00] Nikaukana utu Wangu

[00:03:03] Kuonesha Upendo Wangu

[00:03:06] Niliyemuhangaikia leo ananisema vibaya

[00:03:11] Natafakari wanadamu

[00:03:14] Tuna mioyo gani

[00:03:17] Kama wanyama

[00:03:19] Hatuna hurumaa

[00:03:22] Yani mpaka ninahurumiwa na watu

[00:03:25] Mateso yasiishaga katu

[00:03:28] Nimeyaacha

[00:03:31] Ninamuachia Mungu

[00:03:33] Kama moyoni mwangu

[00:03:36] Pale hawakuthamini

[00:03:39] Hata nisiposamehe

[00:03:41] Hawawezi jifunza

[00:03:44] Sio wote wataniomba msamaha

[00:03:47] Wengine walikufaga

[00:03:50] Sijui nitatunza vya nini

[00:03:56] Wajua ninamaumivu ya moyo

[00:03:59] Mengine katu siwezi sahau

[00:04:01] Ila ninasamehe

[00:04:05] Ninasamehe

[00:04:07] Wala sio kwa ajili ya mtu

[00:04:10] Wala sio kwa ajili ya dunia

[00:04:13] Ila kwa moyo Wangu

[00:04:15] Na amani ya Kesho

[00:04:29] Yeah

[00:04:30] Nimesamehe

[00:04:32] Yeah

[00:04:33] Nimesamehe

[00:04:34] Nimesamehe

[00:04:36] Nimesamehe

[00:04:38] Baki na Amani

[00:04:41] Nimesamehe

[00:04:43] Yeah

[00:04:44] Nimesamehe

[00:04:46] Yeah

[00:04:47] Nimesamehe

[00:04:49] Ili nisamehewe

[00:05:01] Kwa ajiliiiiiiii

[00:05:04] Asante Yesu

您可能还喜欢歌手Goodluck Gozbert的歌曲: