找歌词就来最浮云

《Niache》歌词

所属专辑: Niache 歌手: Diamond Platnumz 时长: 03:59
Niache

[00:00:00] Niache - Diamond Platnumz

[00:00:01] Written by:Nasibu Abdul Juma Issaack

[00:00:21] Hhhhmm

[00:00:22] Eti nikuombee mema

[00:00:24] Na baraka uzidi fanikiwa

[00:00:28] Siwezi kamwe wala hhhhmm

[00:00:32] Ni sawa na kuiforce sinema

[00:00:35] Kuitazama na haijanivutia

[00:00:38] Lazima tu ntalala oooh

[00:00:43] Na kwa barabara ukipita

[00:00:46] Nenda kulia ukiniona kushoto

[00:00:49] Sitaki hata tuonane hhhhmm

[00:00:54] Usije wala ukaniita

[00:00:56] Donda vilia utanchochea tu moto

[00:00:59] Nisije nkutukane hhhhmm

[00:01:05] Kinachoniumiza nafsi

[00:01:06] Kunisikitisha kwa watu kujishongondoa

[00:01:10] Kumbe mapenzi hisabati wakati nayazidisha

[00:01:13] Mwenzangu nje unayatoa

[00:01:15] Wewe cement mimi mchanga

[00:01:18] Nkasema penzi tujenge lisije loa

[00:01:21] Najitia mkandarasi naezeka mabati

[00:01:23] Wewe chini kenchi unabomoa

[00:01:25] Niache

[00:01:28] Niache

[00:01:31] Niaache oh niache

[00:01:33] Niache

[00:01:34] Nipambane na moyo wangu

[00:01:36] Niache niiaaa

[00:01:38] Niache moyo wangu una hasira

[00:01:41] Niaache oh niache

[00:01:44] Niache

[00:01:45] Oooh oh

[00:01:58] Najitahidi nisilale kwenye kitanda

[00:02:03] Huenda ntapunguza ndoto zako

[00:02:07] Hhhhmm

[00:02:08] Mwilini nina machale utadhani mwanga

[00:02:13] Yote kuusahau uwepo wako

[00:02:18] Hhhhmm

[00:02:19] Laiti kama ningekuwa gari

[00:02:22] Ningekugonga barabarani

[00:02:25] Ama nyuki mtoa asali

[00:02:27] Nkung'ate sura wasiitamani

[00:02:29] Hivi wewe ungo ulivunja mwali

[00:02:32] Ama ulivunja sahani

[00:02:35] Kuniundia mateam kwa mitandao

[00:02:38] Vijembe vya kazi gani

[00:02:41] Kinachoniumiza nafsi

[00:02:43] Kunisikitisha kwa watu kujishongondoa

[00:02:46] Kumbe mapenzi hisabati wakati nayazidisha

[00:02:49] Mwenzangu nje unayatoa

[00:02:51] Wewe cement mimi mchanga

[00:02:54] Nkasema penzi tujenge lisije loa

[00:02:57] Najitia mkandarasi naezeka mabati

[00:02:59] Wewe chini kenchi unabomoa

[00:03:01] Niache oooh niachee

[00:03:04] Niache mimi moyo wangu una hasira

[00:03:07] Niaache tena ukae mbali

[00:03:09] Niache oooh niachee

[00:03:12] Niache usiwapigie rafiki zangu

[00:03:15] Niache usithubutu hata simu yangu

[00:03:17] Niaache chonde tafadhali

[00:03:20] Niache niiaaa

[00:03:30] Iyoo lizer

[00:03:33] Hhhhmm

[00:03:34] Ntakudanganya kwa tabasamu

[00:03:37] Ntakudangany kwa kucheka

[00:03:39] Ntakudanganya hata kwa salamu

[00:03:42] Ila moyoni nakuchukia

[00:03:45] Nitakudanganya kukufollow

[00:03:47] Nitakudanganya kucomment

[00:03:50] Nitakudangaya kulike picha

[00:03:53] Ila siwezi kukuzimia

[00:03:55] Mxiuuuuu

您可能还喜欢歌手Diamond Platnumz的歌曲: