《Sijaona》歌词
[00:00:00] Sijaona - Diamond Platnumz
[00:00:00] Written by:Nasibu Abdul Juma Issaack
[00:00:07] Agaah
[00:00:08] Ati niende kwa mganga
[00:00:10] Ntoe doti za kanga
[00:00:12] Ama nikufunge kamba
[00:00:13] Ntadanganya mie eeh
[00:00:15] Aah
[00:00:16] Nyumbani nifuge mamba
[00:00:18] Mara mlinzi kwa panga
[00:00:20] Kuchunga usije danga
[00:00:21] Uwongo nisikwambie
[00:00:23] Hhhmm
[00:00:24] Moyo wangu
[00:00:25] Usiufanye njia ooh
[00:00:28] Ukapita
[00:00:30] Ooh nitaumia
[00:00:32] Shamba langu
[00:00:34] Wakanivunia ooh
[00:00:36] Yote tisa
[00:00:38] Ukanibeza na kukimbia
[00:00:40] Tena unga ujengezi
[00:00:42] Usitishe na sanaa
[00:00:44] Ukaninyima malezi
[00:00:46] Nikakosa hata raha
[00:00:48] Aah
[00:00:48] Nikaanza kuvunja nazi
[00:00:50] Kutwa kuchwa kafara aah
[00:00:52] Nililie kipenzi
[00:00:54] Yakukunda ooh
[00:00:55] Karaha
[00:00:56] Ooh
[00:00:56] Sijaona
[00:00:59] Sijaona
[00:01:01] Sijaona
[00:01:02] Kama wewe
[00:01:03] Hhhmm juwa mimi
[00:01:05] Sijaona sijaona mimi
[00:01:07] Sijaona sijaona bado
[00:01:09] Sijaona
[00:01:10] Kama wewe
[00:01:28] Hhhmm aaah
[00:01:29] Refa kapiga kipenga
[00:01:31] Ronaldo punguza chenga
[00:01:33] Kuku tulia kwa tenga
[00:01:35] Mbwembwe tupa kule
[00:01:36] Aah
[00:01:37] Na upunguze kujiremba
[00:01:39] Wasije wakakupenda
[00:01:41] Kuna warabu wapemba
[00:01:43] Ukanisusa bure
[00:01:44] Nisiwe napata tabu
[00:01:47] Chemsha mawe
[00:01:47] Kumaliza kuni eeh
[00:01:49] Kumbe kung'aa dhahabu
[00:01:51] Kuichoma sio sabuni
[00:01:53] Nishajipaga moyo
[00:01:55] Wewe ndio mwisho wa reli
[00:01:57] Basi jifunze choyo
[00:01:59] Wasije nikejeli
[00:02:01] Uwezo wangu wa toyo mie
[00:02:03] Sijafikia meli
[00:02:05] Acha wacheze loyal
[00:02:07] Sie kwetu singeli
[00:02:09] Ooh
[00:02:10] Moyo wangu
[00:02:11] Usiufanye njia ooh
[00:02:14] Ukapita
[00:02:16] Sana nitaumia
[00:02:18] Shamba langu
[00:02:19] Wakanivunia ooh
[00:02:22] Kesho wakaja kukuteka
[00:02:23] Na matusi kunitupia
[00:02:25] Juwa mwenzako mimi
[00:02:26] Ooh
[00:02:26] Sijaona bado mimi
[00:02:28] Sijaona mwenzio mimi
[00:02:30] Sijaona sijaona
[00:02:32] Kama wewe
[00:02:33] Unajua mimi
[00:02:34] Sijaona unajua mimi
[00:02:36] Sijaona sijaona mimi
[00:02:38] Sijaona
[00:02:40] Kama wewe
[00:02:41] Agah
[00:02:41] Hasa mose kunambi
[00:02:42] Alele alele alee
[00:02:44] Alele alele alee
[00:02:46] Alele alele alee
[00:02:49] Agah mkubwa fella
[00:02:51] Alele alele alee
[00:02:53] Alele alele alee
[00:02:54] Alele alele alee
[00:02:57] Agah
[00:02:58] Tiffah dangote
[00:02:59] Alele alele alee
[00:03:01] Alele alele alee
[00:03:02] Alele alele alee
[00:03:05] Agah
[00:03:06] Makame fumbwe
[00:03:07] Alele alele alee
[00:03:08] Alele alele alee
[00:03:11] Alele alele alee
您可能还喜欢歌手Diamond Platnumz的歌曲:
随机推荐歌词:
- 爱我你就抱抱我 [月亮姐姐]
- Wicked Messenger [Faces]
- 敬祝领袖毛主席万寿无疆 [黑鸭子]
- 蒙面歌 [蒙面哥]
- 可不可以 [小雪]
- Turn My Back On You [Billy Fury&The Four Jays]
- Madam’ Madam’ [Les Chaussettes Noires]
- Intro/ Year Of The Cat (Medley) (Live) - live(Live) [Al Stewart]
- Feel(Album Version) [Big Star]
- Leo do Norte [Som Da Terra]
- Eigentlich wollte ich nicht nach Hannover [Bernd Begemann]
- Maantielt taloon - Son Of My Father [Danny]
- 总有一天等到你(Remaster) [黄丽卿]
- Hallelujah I Love Her So [Ray Charles]
- Beat It [DJ In the Night]
- Here Come the Girls [70s Greatest Hits&70s Cha]
- Scetate [Massimo Ranieri]
- Lambada [Extra Latino]
- Pauvre Martin [Georges Brassens]
- See the Light [Electric Guest]
- Christopher Columbus [Guy Mitchell]
- A Friend Of Yours [Lena Horne]
- Maybe [Sinzo Eumke]
- Princess Mononoke (Princess Mononoke) [V.A.]
- 震撼(Remix) [张立基]
- 盗心贼(DJ版) [金6]
- Giselle [Novectacle]
- 交心 [林强]
- Mi Error Mi Fantasía(En Vivo) [Edith Marquez]
- O Christmas Tree [Tony Bennett]
- 恋は渾沌の隷也 [後ろから這いより隊G]
- Dendang Perantau [Various Artists]
- 我的歌 [张武孝]
- Sleigh Ride [Leroy Anderson]
- Catena [Salvatore Polizzi]
- A Rock & Roll Christmas [New Christmas&Piano Chris]
- 94 Hours [As I Lay Dying]
- Coquette [Frankie Laine]
- Look-a-Here Babay [Howlin’ Wolf]
- 雷霆万钧 [张雷]
- 你是我的童佳倩 [王路杰]
- Laughs And Jokes And Drinks And Smokes [Mark Knopfler]