《Malebo》歌词

[00:00:01] Malebo - Pst. Faustin S. Munishi
[00:00:24] Nina huzuni rohoni mimi siimbi nalia
[00:00:28] Namlilia malebo amekataa kuokoka
[00:00:32] Nilizoimba ni nyingi nikimuonya malebo
[00:00:36] Bado hajabadilika sasa siimbi nalia
[00:00:41] Yeye ni wangu rafiki tuliyesoma pamoja
[00:00:45] Michezo ya utotoni tuliicheza pamoja
[00:00:49] Sasa ni watu wazima na mimi nimeokoka
[00:00:53] Malebo nikimwambia yeye anaruka kimanga
[00:00:58] Si yeye peke yake ninao wengi rafiki
[00:01:02] Niliwaimba kimbele kwenye kaseti ya pili
[00:01:06] Wengine wamekubali wamemwamini mwokozi
[00:01:10] Yesu amewasamehe amebakia malebo
[00:01:33] Tangu zamani huwa akinitafuta
[00:01:36] Aninunulie chang'aa bangi sigara na beer
[00:01:40] Nikimwambia malebo ninunulie chakula
[00:01:45] Matusi tanitukana nimelalia maskio
[00:01:49] Umenitusi malebo uongo kuninenea
[00:01:53] Mimi nimemsamehe najua tatizo lake
[00:01:57] Yeye mtumwa wa dhambi anataka ukombozi
[00:02:02] Mpaka atakapokubali yesu atamkomboa
[00:02:06] Nakuita malebo uje kwa yesu utubu
[00:02:10] Yeye ni mwenye huruma atakusamehe kabisa
[00:02:14] Jina lako la malebo litaandikwa mbinguni
[00:02:19] Utakuwa kiumbe kipya ya kale yote tapita
[00:02:40] Mkumbuke mrefu alivyokuwa mbaya
[00:02:44] Tangu alipokubali kumpa yesu maisha
[00:02:48] Ameshambadilisha sio mrefu wa kale
[00:02:53] Sasa anahubiri injili yake mwokozi
[00:02:58] Nawajua vizuri pili na tatu pamoja
[00:03:01] Walivyokuwa wakali watoto wa mtaani
[00:03:05] Sasa wameshaokoka wamechanua vizuri
[00:03:10] Wote wameokoka wana watoto nyumbani
[00:03:14] Nimeshanawa mikono damu yako sidaiwi
[00:03:18] Yesu anayekupenda njoo kwake anakuita
[00:03:23] Unanijua vizuri sina haja kueleza
[00:03:27] Yesu 'linibadilisha na wewe 'takubadilisha
[00:03:48] Anakuita ulivyo uje akubadilishe
[00:03:52] Acha kutia mashaka anajua kazi yake
[00:03:57] Kazi yako kuamini kutubu makosa yako
[00:04:01] Na yesu ni kusamehe na kukuosha kabisa
[00:04:06] Hima njoo kwa haraka wacha kusita malebo
[00:04:09] Ona ulivyo chakaa meno sita wametoa
[00:04:14] Wale uliodanganya ukawaibia mapesa
[00:04:18] Wengine washaapa watakungo'a mengine
[00:04:23] Sio wote wapole kama unavyoniona
[00:04:27] Pesa ulizonirusha mimi nimenyamaza kimya
[00:04:31] Sasa wale wazaire uliowaibiwa madola
[00:04:35] Wamesema wakikuona macho yako tayang'oa
[00:04:57] Najua maskani unapoishi malebo
[00:05:01] Jijini dar es salaam keko ya magurumbasi
[00:05:05] Pale mjini arusha huko unga limited
[00:05:09] Na jiji la nairobi watakupata majengo
[00:05:14] Kwote nimezunguka sijakuona kabisa
[00:05:18] Wazazi wanisumbua hawakuoni nyumbani
[00:05:22] Mkeo yule wa tano anakutaka nyumbani
[00:05:26] Wale ulowafukuza wote pia wamerudi
[00:05:31] Nakuita malebo uje kwa yesu utubu
[00:05:35] Yeye ni mwenye huruma atakusamehe kabisa
[00:05:39] Jina lako la malebo litaandikwa mbinguni
[00:05:43] Utakuwa kiumbe kipya ya kale yote tapita
您可能还喜欢歌手Pst. Faustin S. Munishi的歌曲:
随机推荐歌词:
- Can U Handle It?(Confession Special Edition Version) [Usher]
- Sirens Of The Seven Seas [Sirenia]
- 永遠 [Do As Infinity]
- 假面温柔 [邢继光]
- 我将我心当流云 [吕行]
- 遠い音楽 [今井麻美]
- 唯我 (修改版) [小尿尿]
- Graduation Color [内田真礼]
- 小夜鳴鳥に背を向けて [Angel Note]
- Lost And Lookin’ [Lou Rawls&Les McCann]
- ALL OF ME [Lawrence]
- Shepherd Of My Heart [Johnny Cash]
- 脱轨列车 [颗粒&3ASIC]
- Someday, Sweetheart [Caterina Valente]
- Esta Tierra [Cecilia]
- Chicken [The Loved Ones]
- 小小一粒米 [李知遥]
- Keep It Comin’ (Dance ’Til You Can’t Dance No More!) [The Hit Co.]
- Lay Lady Lay (Karaoke Version) [SBI Audio Karaoke]
- Superman(Album Version) [Juana La Loca]
- Viens [Charles Aznavour with Orc]
- Heathens (Originally Performed by twenty one pilots) [DJ MixMasters]
- Dame Tus Besos(Album Version) [Los Chichos]
- If I Were a Bell(Remaster) [Blossom Dearie]
- 【小夜曲】做一个幸福的好人,也让别人感到幸福 [米莉姑娘]
- Lover Man [Kay Starr]
- A Foggy Day [Ella Fitzgerald]
- The Walls Have Ears [Elvis Presley]
- That Old Feeling [Doris Day&D.R]
- Dos Mulatas [Ricardo Lemvo]
- Routes [Setsuna Ogiso]
- 千年一梦谯城留 [吕冉]
- 女强人女汉子(中文越南鼓-Vietnam drum) [杨杰&彦江]
- 瓦解 [怪人阿光&莫凝[莫小娘]]
- Between the Devil and the Deep Blue Sea [Tony Crombie Orchestra&An]
- Born Slippy from Trainspotting ”Dream Mix” [The Popstar Band]
- Ya Taiba(Arabic version) [Ahmad Hussain]
- City On Our Knees [High Life Hitmakers]
- Insomnia [Brian Puspos]
- Can’t Help Lovin’ Dat Man[Pt. 2](Remastered) [Billie Holiday]
- 青楼 [范学斌]
- Just the Way You Are [Sax]