找歌词就来最浮云

《Intro》歌词

所属专辑: Malaika 歌手: Malaika 时长: 01:31
Intro

[00:00:02] Washinda ugangani

[00:00:03] Walala uchawini

[00:00:03] Ati uniroge mimi

[00:00:04] Nimekuudhi nini

[00:00:05] Washinda ugangani

[00:00:05] Walala uchawini

[00:00:05] Ati uniroge mimi

[00:00:06] Nimekuudhi nini

[00:00:07] Kazi yangu si nyepesi

[00:00:07] Ai ya ya

[00:00:08] Nikipata kidogo mnanuna

[00:00:09] Kidogo mnavimba

[00:00:09] Huishi kunisemaa

[00:00:09] Ai ya yaaa

[00:00:10] Huenda ipo sababu

[00:00:12] Tulitatue

[00:00:12] Tulitatue

[00:00:12] Tulitatue

[00:00:12] Tulitatue

[00:00:12] Daily kwako hakuishi bifu

[00:00:13] Basi nambie

[00:00:14] Basi nambie

[00:00:15] Unapenda zogo

[00:00:15] Unazua uongo

[00:00:15] Uongo uongo

[00:00:15] Zogo

[00:00:15] Zogo

[00:00:15] Zogo zogo zogo

[00:00:15] Unapenda zogo

[00:00:16] Unazua uongo

[00:00:16] Uongo uongo

[00:00:16] Zogo

[00:00:17] Zogo

[00:00:17] Zogo zogo zogo

[00:00:17] Abby dady on beat

[00:00:22] Mlisema mangapi

[00:00:22] Leo wakowapi

[00:00:23] Mlipiga kelele

[00:00:24] Nasonga mbele

[00:00:25] Wanaona gere

[00:00:26] Moyo wako

[00:00:27] Umejaa usuta

[00:00:27] Dua zako

[00:00:28] Kuniombea majanga

[00:00:29] A aaaa

[00:00:29] Kuniombea majanga

[00:00:30] Jichunguze maishani

[00:00:31] Kwa maneno hayafanani

[00:00:31] Umefunzwa na nanii ooh

[00:00:31] Nikipata kidogo mnanuna

[00:00:32] Kidogo mnavimba

[00:00:33] Huishi kunisemaa

[00:00:33] Ai ya yaaa

[00:01:07] Huenda ipo sababu

[00:01:08] Tulitatue

[00:01:08] Tulitatue

[00:01:08] Tulitatue

[00:01:09] Tulitatue

[00:01:09] Daily kwako hakuishi bifu

[00:01:10] Basi nambie

[00:01:11] Basi nambie

[00:01:11] Tusisuguane

[00:01:11] Unapenda zogo

[00:01:12] Unazua uongo

[00:01:12] Uongo uongo

[00:01:13] Zogo

[00:01:14] Zogo

[00:01:14] Zogo zogo zogo

[00:01:14] Unapenda zogo

[00:01:15] Unazua uongo

[00:01:15] Uongo uongo

[00:01:15] Zogo

[00:01:15] Zogo

[00:01:15] Zogo zogo zogo

[00:01:16] Unapenda zogo

[00:01:16] Unazua uongo

[00:01:16] Uongo uongo

[00:01:16] Zogo

[00:01:16] Zogo

[00:01:17] Zogo zogo zogo

[00:01:17] Unapenda zogoo

[00:01:17] Unazua uongo

[00:01:17] Zogo

[00:01:17] Zogo

[00:01:18] Zogo zogo zogo

[00:01:18] Unapenda zogoo

[00:01:19] Unapendaa zogo

[00:01:19] Zogoo zogoo

[00:01:19] Kila siku mizengwe

[00:01:20] Unapenda zogo

[00:01:20] Unapenda zogo

[00:01:21] A aaah

[00:01:21] Abby dady end

您可能还喜欢歌手Malaika的歌曲:

随机推荐歌词: