找歌词就来最浮云

《Watu Na Viatu》歌词

所属专辑: Mpenzi 歌手: Nyota Ndogo 时长: 04:33
Watu Na Viatu

[00:00:00] Watu Na Viatu - Nyota Ndogo

[00:00:43] Rafiki yangu mpendwa

[00:00:47] Naja kwako siku nyingi

[00:00:50] Wanipokea kwa

[00:00:52] Uzuri siku zote

[00:00:56] Wakati sina

[00:00:59] Wanipa nitakacho husiti

[00:01:03] Nisemacho kwako sawa waniombea mungu

[00:01:10] Moyoni mwangu najua

[00:01:13] Nina rafiki

[00:01:15] Huyu wa kweli

[00:01:17] Hakuna yule

[00:01:18] Ambaye atakuja

[00:01:21] Kati yetu

[00:01:23] Wakati sina wanipa

[00:01:27] Nitakacho husiti

[00:01:30] Nisemacho kwako sawa waniombea mungu

[00:01:36] Ooh kuna watu na viatu duniani

[00:01:42] Ooh kuna watu wasiopenda maendeleo

[00:01:49] Ooh ukiwa nacho chawauma ndani kwa ndani

[00:01:56] Achana nao waepuke haraka sana

[00:02:03] Hivi majuzi nilipata kazi nzuri nikaja kukueleza

[00:02:10] Mtu wa kwanza nilifikiria ni wewe rafiki yangu

[00:02:16] Nilifurahi na kuruka na kutaja jina lake mungu

[00:02:23] Nikikuangalia mwako usoni umejisononesha

[00:02:30] Ukaanza kusonya ukirusha mikono

[00:02:33] Sura umeikunja kumbe hukufurahi

[00:02:36] Mafanikio yangu

[00:02:38] Nilikuachi mimi kuja kukueleza

[00:02:43] Mukan jago sua

[00:02:44] Mukoron sami puno

[00:02:46] Saurai mani pujo

[00:02:48] Kubeao kuforai

[00:02:49] Mafanikio yangu

[00:02:51] Nilikuachi mimi kuja kukueleza

[00:02:57] Mtu wa kwanza mimi kumfikiria ni we rafiki yangu

[00:03:03] Ooh kuna watu na viatu duniani na viatu

[00:03:09] Ooh kuna watu wasiopenda maendeleo

[00:03:16] Ooh ukiwa nacho chawauma ndani kwa ndani kwa ndani

[00:03:23] Achana nao waepuke haraka sana

[00:03:29] Ooh kuna watu na viatu duniani na viatu

[00:03:36] Ooh kuna watu wasiopenda maendeleo

[00:03:42] Ooh ukiwa nacho chawauma ndani kwa ndani

[00:03:49] Achana nao waepuke haraka sana

[00:03:56] Ooh kuna watu na viatu duniani

[00:04:02] Ooh kuna watu wasiopenda maendeleo

[00:04:09] Ooh ukiwa nacho chawauma ndani kwa ndani

[00:04:16] Achana nao waepuke haraka sana

您可能还喜欢歌手Nyota Ndogo的歌曲: