找歌词就来最浮云

《Ugali Sosa》歌词

所属专辑: Wrong Number 歌手: Man Igwe 时长: 03:31
Ugali Sosa

[00:00:00] Ugali Sosa - Man Ingwe

[00:00:15] Natafuta ufalme wa mungu na utakatifu wake

[00:00:22] Na vitu vyote vile vizuri nitaongezewa kama ugali sosa

[00:00:30] Huwezi pewa ugali sosa kama bado hujanunua

[00:00:38] Basi mwenzangu mtafute mungu utaongezewa ugali sosa

[00:00:47] Kuna hoteli ambayo mi huenda kukamata ugali na supu ya magoti

[00:00:50] Mara tu mlima wa ugali ukifika naanza kufanya test za mluhya

[00:00:55] Ya kwanza nafinya ugali inachomoka pande zote za mkono

[00:00:59] Ya pili navumba ugali tupa kwa ukuta narudi kama tennis

[00:01:03] Ya tatu napuliza ugali na moshi nyeupe inaenda spiral

[00:01:07] Ugali inapata certificate waiter leta sosa

[00:01:11] Natafuta ufalme wa mungu na utakatifu wake

[00:01:17] Na vitu vyote vile vizuri nitaongezewa kama ugali sosa

[00:01:25] Huwezi pewa ugali sosa kama bado hujanunua

[00:01:33] Basi mwenzangu mtafute mungu utaongezewa ugali sosa

[00:01:42] Naanza kusakata ugali namega ugali hapo kwa ngotitsa

[00:01:46] Halafu namwona wepukhulu kumbe alikuwa upande ule wa meza

[00:01:50] Waiter anamkaribia anamwuliza nikupe nini bwana

[00:01:54] Wepukhulu anasema ugali sosa na kadhalika

[00:01:58] Waiter anasema excuse me wepukhulu anazusha

[00:02:02] Mabouncer wakambeba juu wakamtandika chonga viazi

[00:02:06] Natafuta ufalme wa mungu na utakatifu wake

[00:02:13] Na vitu vyote vile vizuri nitaongezewa kama ugali sosa

[00:02:21] Huwezi pewa ugali sosa kama bado hujanunua

[00:02:28] Basi mwenzangu mtafute mungu utaongezewa ugali sosa

[00:02:37] Sasa wasee iko hivi tabia mbaya lazima tutawacha

[00:02:41] Tunataka baraka zake mungu lakini tunakataa mungu mwenye baraka

[00:02:45] Tunataka tupate uponyaji lakini tunakataa yesu mwenye kuponya

[00:02:49] Tunapenda sana miujiza lakini hatumpendi mungu mwenye kutenda

[00:02:53] Ni lazima tutatubu wapendwa tubadili mienendo tumtafute mungu

[00:02:56] Ukidharau mambo hii nasema haki roho safi utachonga viazi

[00:03:00] Natafuta ufalme wa mungu na utakatifu wake

[00:03:08] Na vitu vyote vile vizuri nitaongezewa kama ugali sosa

[00:03:15] Huwezi pewa ugali sosa kama bado hujanunua

[00:03:23] Basi mwenzangu mtafute mungu utaongezewa ugali sosa

您可能还喜欢歌手Man Igwe的歌曲:

随机推荐歌词: