《Tulia》歌词

[00:00:00] Tulia - Reuben Kigame
[00:00:15] Tulia kaka tulia dada
[00:00:22] Vita ni vyake bwana
[00:00:30] Hata dhoruba ivume sana
[00:00:37] Vita ni vyake bwana
[00:00:44] Inua macho yako
[00:00:51] Umtazame mwokozi
[00:00:58] Wale walionawe wanaziidi
[00:01:05] Majeshi ya adui zako
[00:01:16] Tulia tulia tulia sasa
[00:01:23] Sichukue hatua nyingine
[00:01:31] Sikiza sauti ya mungu wako
[00:01:38] Akuwazia mema
[00:01:45] Inua macho yako
[00:01:52] Umtazame mwokozi
[00:02:00] Wale walionawe wanaziidi
[00:02:06] Majeshi ya adui zako
[00:02:14] Usiogope usitikiswe
[00:02:22] Usitazame kando
[00:02:28] Weka imani kwa mungu wako
[00:02:36] Vita ni vyake bwana leo
[00:02:50] Inua macho yako
[00:02:57] Umtazame mwokozi
[00:03:05] Wale walionawe wanaziidi
[00:03:11] Majeshi ya adui zako
[00:03:19] Inua macho yako
[00:03:26] Umtazame mwokozi
[00:03:33] Wale walionawe wanaziidi
[00:03:40] Majeshi ya adui zako
您可能还喜欢歌手Reuben Kigame的歌曲:
随机推荐歌词:
- Be My Valentine(Live) [古巨基]
- 必胜 [SeoTaiji]
- Opal [Saycet]
- One Story [AILI&Ken The 390]
- Mame [Louis Armstrong And The A]
- Prologue [佐藤聡美]
- 红牌罚下 [Chinese Football]
- Everything To Me [Chan Kim]
- House of the Rising Sun [Joan Baez]
- Stella by Starlight [Tony Bennett]
- Secrets [The Primitives]
- Comme Hier [Georges Brassens]
- Locked out of Heaven [Party Chartstarz]
- Love U 4 Life [The Hit Nation]
- Amapola [Benny Goodman&Helen Ward]
- I Could Not Ask for More [The New Troubadours]
- Shout [Funk Party Band]
- Quiero Quiero [Los Juniors de Culiacan]
- 想过没做过的梦 [郑国锋]
- That’s The Way Love Is [Bobby Darin]
- Who’s Sorry Now [Connie Francis]
- 没有飞回的大雁 [董文华]
- Right Now [Mel Tormé]
- Nuits dEspagne [Dalida]
- Vivere Una Favola [Vasco Rossi]
- We’re Together [Blossom Dearie]
- Am I Losing You [Jim Reeves]
- 梦的力量 [小腊月]
- Wrap My Words Around You [Daniel Bedingfield]
- 梦幻火车 [好好(张轩睿)]
- For The Love Of You (Livin’ For The Love Of You) [Deja Vu]
- Halo(Remix) [The Allstar Hitmakers]
- Mine(Workout ReMixed) [Workout Remix Factory]
- La rateta [Cucorba]
- 科尔沁女人 [云岸]
- Air Mata Rindu [Anie Carera&Deddy Dores]
- Come Home For Christmas [The Platters]
- So Long [Ricky Nelson]
- My Prayer [The Platters]
- You Better Know It [Nina Simone]
- L’eau vive(Remastered) [Guy Beart]
- 情人节 [尹洪强]