找歌词就来最浮云

《Usinipite Mwokozi》歌词

所属专辑: Taa Yangu 歌手: Emmachichi 时长: 06:47
Usinipite Mwokozi

[00:00:00] Usinipite Mwokozi - Emmachichi

[00:00:26] Usinipite mwokozi uni sikie

[00:00:38] Unapozuru wengine naomba usinipite

[00:00:51] Usinipite mwokozi uni sikie

[00:01:03] Unapozuru wengine naomba usinipite

[00:01:16] Yesu yesu unisikie

[00:01:28] Unapozuru wengine usinipite

[00:01:42] Kiti chako cha rehema na kitazama

[00:01:53] Magoti napiga pale nisamehewe

[00:02:06] Kiti chako cha rehema na kitazama

[00:02:18] Magoti napiga pale nisamehewe

[00:02:31] Yesu yesu unisikie

[00:02:43] Unapozuru wengine usinipite

[00:02:56] Yesu yesu unisikie

[00:03:09] Unapozuru wengine usinipite

[00:03:21] Sina ya kutegemea ila wewe tu

[00:03:34] Uso wako uwe kwangu na kua budu

[00:03:46] Yesu yesu unisikie

[00:03:59] Unapozuru wengine usinipite

[00:04:11] Yesu yesu unisikie

[00:04:24] Unapozuru wengine usinipite

[00:04:37] Umfaraji peke yake

[00:04:43] Sina mbinguni wala duniani popote bwana mwingine

[00:05:02] Yesu yesu unisikie

[00:05:14] Unapozuru wengine usinipite

[00:05:52] Yesu yesu unisikie

[00:06:05] Unapozuru wengine usinipite

[00:06:17] Yesu yesu unisikie

[00:06:30] Unapozuru wengine usinipite

您可能还喜欢歌手Emmachichi的歌曲: