找歌词就来最浮云

《Bwana Ni Mchungaji Wangu(the Lord Is My Shepherd)》歌词

所属专辑: Gigo! 歌手: Soul Influence 时长: 03:47
Bwana Ni Mchungaji Wangu(the Lord Is My Shepherd)

[00:00:00] Bwana Ni Mchungaji Wangu (the Lord Is My Shepherd) - Soul Influence

[00:00:00] Composed by:Reuben Kigame

[00:00:00] Bwana Ni Mchungaji wangu Sitapungukiwa Kitu

[00:00:13] Hulaza kwenye majani mabichi Hunongoza Kwa maji Matulivu

[00:00:26] Hunihuisha nafsi yangu Huniongoza kwa njia

[00:00:37] Za Haki Nipitapo bondeni mwa mauti Sitaogopa wewe u nami

[00:00:53] Hakika wema nazo fadhili Zita nifuata mimi

[00:01:06] Nitakaa Nyumbani mwa bwana Siku zote za maisaha yangu

[00:01:19] Gongo lako na Fimbo yako Vinanifariji mimi

[00:01:32] Huandaa meza mbele yangu Machoni mwa watesi wangu

[00:01:45] Hakika wema Nazo fadhili zitanifuata Mimi

[00:01:58] Nitakaa nyumbani mwa Bwana siku zote

[00:02:07] Za maisha yangu

[00:02:11] Hakika wema Nazo fadhili zitanifuata Mimi

[00:02:25] Nitakaa nyumbani mwa Bwana siku zote

[00:02:33] Za maisha yangu

[00:02:38] Hakika wema Nazo fadhili zitanifuata Mimi

[00:02:51] Nitakaa nyumbani mwa Bwana siku zote

[00:03:00] Za maisha yangu

[00:03:04] Nitakaa nyumbani mwa Bwana siku zote

[00:03:13] Za maisha yangu

[00:03:17] Nitakaa nyumbani mwa Bwana siku zote

[00:03:30] Za maisha yangu

随机推荐歌词: