找歌词就来最浮云

《Machozi Ya Furaha》歌词

所属专辑: Machozi 歌手: LADY JAYDEE 时长: 04:37
Machozi Ya Furaha

[00:00:00] Machozi Ya Furaha - LADY JAYDEE

[00:00:04] Lyricist:Unknown

[00:00:08] Composer:Unknown

[00:00:12] Nakupenda mpenzi wa maisha maisha aaah

[00:00:18] Na mimi moyoni nina furaha tele moyoni

[00:00:24] Kuwa wako mwenzi wa maisha katu hayatoisha

[00:00:29] Toka moyoni mwangu nimekuchagua wee uwe wangu

[00:00:35] Vipingamizi vingi waliweka

[00:00:38] Asante mola tumevuka tu pamoja sasa

[00:00:44] Wenye kusema waache waseme nakupenda wanipenda

[00:00:50] Furaha twaidumisha nitakuwa wako maisha we u wangu kabisa

[00:01:05] Siku yangu imefika imefika aaah na mimi moyoni

[00:01:13] Nina furaha tele moyoni

[00:01:16] Kukupata mwenzi wa maisha

[00:01:19] Nami naahidi nitakupa vyote

[00:01:25] Tangu sasa hata milele

[00:01:28] Siku yangu imefika imefika aaah aah

[00:01:34] Na mimi moyoni nina furaha tele moyoni

[00:01:40] Furaha furaha furaha tele moyoni

[00:01:46] Furaha furaha furaha tele moyoni

[00:01:54] Mmmhhhh

[00:02:00] Uuuhh ulala lala lala lalala oooh

[00:02:11] Uuuuh woh woh woh iiihh iiiiih iiih

[00:02:21] Uuuuuuuh huh

[00:02:26] Ulala lala lalaa aaah uuuh aahh oooh la lala lala

[00:02:50] Natoa machozi ya furaha furaha furaha

[00:02:56] Kwani penzi letu limekwisha ota mizizi

[00:03:02] Umekuwa wangu la azizi

[00:03:05] Nami naamini tutaishi sote tutapita na pande zote

[00:03:13] Nimekuwa wako mahabuba

[00:03:16] Kaeni kando acheni pupa tutapita kote

[00:03:22] Pande zote mahali pote

[00:03:25] Wenye kusema na waseme

[00:03:28] Nakupenda wanipenda

[00:03:31] Umekuwa wangu wa maisha wa maisha aah maisha

[00:03:39] Mmmhhh

[00:03:45] Uuuh uhhh ulala lala lala lala laa

[00:03:57] Ninalo penzi la milele moyoni mwangu

[00:04:08] Ninatoa machozi ya furaha aaah

[00:04:14] Yeeeh nina furaha ninalo penzi la milele

[00:04:26] Uuuh aaaah

[00:04:34] Mhhhhhhhh

您可能还喜欢歌手LADY JAYDEE的歌曲: