找歌词就来最浮云

《Nerea》歌词

所属专辑: Live and Die In Afrika 歌手: Sauti Sol&Amos and Josh 时长: 03:25
Nerea

[00:00:00] Nerea - Sauti Sol/Amos and Josh

[00:00:01] Written by:RR

[00:00:09] Nakuomba nerea usitoe mimba yangu we

[00:00:15] Mungu akileta mtoto analeta saa ni yake

[00:00:19] Mlete nitamlea usitoe mimba yangu we

[00:00:25] Mungu akileta mtoto analeta saa ni yake

[00:00:30] Huenda akawa obama atawale amerika

[00:00:34] Huenda akawa lupita oscar nazo akashinda

[00:00:40] Huenda akawa wanyama acheze soka uingereza

[00:00:44] Huenda akawa kenyatta mwanzilishi wa taifa

[00:00:50] Nakuomba nerea usitoe mimba yangu we

[00:00:55] Mungu akileta mtoto analeta saa ni yake

[00:01:00] Mlete aitamlea usitoe mimba yangu we

[00:01:05] Mungu akileta mtoto analeta saa ni yake

[00:01:20] Huenda akawa maathai ayalinde mazingira

[00:01:25] Huenda akawa makeba nyimbo nzuri akatunga

[00:01:30] Huenda akawa nyerere aongoze tanzania

[00:01:35] Huenda akawa mandela mkombozi wa taifa

[00:01:40] Nakuomba nerea usitoe mimba yangu we

[00:01:46] Mungu akileta mtoto analeta saa ni yake

[00:01:50] Mlete aitamlea usitoe mimba yangu we

[00:01:56] Mungu akileta mtoto analeta saa ni yake

[00:02:21] Nakuomba nerea nerea nerea

[00:02:29] Usitoe mimba yangu

[00:02:32] Nerea nerea nerea

[00:02:38] Usitoe mimba uangu

[00:02:41] Huenda akawa kagameatawale

[00:02:46] Jaramogi odingatuungane

[00:02:51] Huenda akawa tom mboya

[00:02:54] Huenda akawa rudisha

[00:02:56] Huenda akawa malaika mungu ametupatia

[00:03:01] Huenda akawa sauti sol

[00:03:06] Huenda akawa amos josh

[00:03:11] Huenda akawa

[00:03:16] Huenda akawa malaika mungu ametupatia

您可能还喜欢歌手Sauti Sol&Amos and Josh的歌曲:

随机推荐歌词: