找歌词就来最浮云

《Kuliko Jana》歌词

所属专辑: Live and Die In Afrika 歌手: Sauti Sol&Aaron Rimbui 时长: 05:29
Kuliko Jana

[00:00:00] Kuliko Jana - Sauti Sol/Aaron Rimbui

[00:00:01] Written by:RR

[00:00:24] Bwana ni mwokozi wangu tena ni kiongozi wangu

[00:00:29] Ananipenda leo kuliko jana

[00:00:35] Baraka zake hazikwishi si kama binadamu habadiliki

[00:00:41] Ananipenda leo kuliko jana

[00:00:47] Kuliko jana

[00:00:50] Kuliko jana

[00:00:53] Yesu nipende leo kuliko jana

[00:00:59] Kuliko jana

[00:01:02] Kuliko jana

[00:01:05] Yesu nipende leo kuliko jana

[00:01:11] Nakuomba mungu awasamehe

[00:01:17] Wangalijua jinsi unavyonipenda mimi wasingenisema

[00:01:22] Na maadui wangu nawaombe maisha marefu wazidi kuona ukinibariki

[00:01:34] Ujue binadamu ni waajabu sana

[00:01:40] Walimkana yesu mara tatu kabla jogoo kuwika

[00:01:46] Ujue binadamu ni waajabu sana

[00:01:51] Walimsulubisha yesu messiah bila kusita

[00:01:57] Bwana ni mwokozi wangu tena ni kiongozi wangu

[00:02:03] Ananipenda leo kuliko jana

[00:02:09] Baraka zake hazikwishi si kama binadamu habadiliki

[00:02:15] Ananipenda leo kuliko jana

[00:02:21] Kuliko jana

[00:02:24] Kuliko jana

[00:02:27] Yesu nipende leo kuliko jana

[00:02:32] Kuliko jana

[00:02:35] Kuliko jana

[00:02:38] Yesu nipende leo kuliko jana

[00:02:44] Wewe ndio nategemea kufa kupona baba nakutegemea

[00:02:50] Chochote kitanikatsia kuingia binguni utaniondolea oooh oooh yeah

[00:02:56] Wewe ndio nategemea amen kufa kupona baba nakutegemea oh oh

[00:03:02] Chochote kitanikatsia kuingia binguni utaniondolea wewe ndio nategemea

[00:03:08] Wewe ndio nategemea kufa kupona ndio nategemea eh bwana

[00:03:13] Chochote kitanikatsia kuingia binguni utaniondolea eh maisha yangu yote

[00:03:20] Wewe ndio nategemea kwa nguvu zangu zote kufa kupona baba nakutegemea nakutegemea

[00:03:25] Chochote kitanikatsia kuingia binguni utaniondolea oooooooh

[00:03:31] Bwana ni mwokozi wangu tena ni mkombozi wangu

[00:03:37] Ananipenda leo kuliko jana

[00:03:42] Baraka zake hazikwishi si kama binadamu habadiliki

[00:03:48] Ananipenda leo kuliko jana

[00:03:54] Kuliko jana

[00:03:57] Kuliko jana

[00:04:01] Yesu nipende leo kuliko jana

[00:04:08] Kuliko jana

[00:04:10] Kuliko jana

[00:04:12] Yesu nipende leo kuliko jana

[00:04:18] Wewe ndio nategemea wewe kufa kupona baba nakutegemea wewe

[00:04:24] Chochote kitanikatsia uh huh kuingia binguni utaniondolea

[00:04:30] Wewe ndio nategemea oooh kufa kupona baba nakutegemea nakutegemea

[00:04:36] Chochote kitanikatsia kuingia binguni utaniondolea

[00:04:41] Bwana ni mwokozi wangu tena ni mkombozi wangu

[00:04:47] Ananipenda leo kuliko jana

[00:04:53] Baraka zake hazikwishi si kama binadamu habadiliki

[00:04:59] Ananipenda leo kuliko jana

[00:05:05] Kuliko jana

[00:05:07] Kuliko jana

[00:05:11] Nipende leo kuliko jana

您可能还喜欢歌手Sauti Sol&Aaron Rimbui的歌曲:

随机推荐歌词: