找歌词就来最浮云

《Usifurahi Juu Yangu》歌词

所属专辑: Hapa Nilipo 歌手: Upendo Nkone 时长: 05:59
Usifurahi Juu Yangu

[00:00:00] Usifurahi Juu Yangu - Upendo Nkone

[00:00:25] Usifurahi juu yangu eeeh adui yangu

[00:00:31] Niangukapo mimi nitasimama tena

[00:00:38] Kumbuka niwapo gizani bwana ni nuru yangu

[00:00:44] Hawezi kuniacha bwana mimi niangamie

[00:00:49] Eh

[00:00:50] Usifurahi juu yangu eeeh adui yangu

[00:00:57] Niangukapo mimi nitasimama tena

[00:01:03] Kumbuka niwapo gizani bwana ni nuru yangu

[00:01:09] Hawezi kuniacha bwana mimi niangamie

[00:01:14] Eh

[00:01:41] Si vyema kunisema vibaya nipatapo tatizo

[00:01:47] Shetani wampa nafasi ndani ya moyo wako

[00:01:54] Kumbuka kwa maobi yako nitasimama tena

[00:01:59] Na utapata baraka kutoka kwake mungu

[00:02:06] Si vyema kunisema sema vibaya nipatapo tatizo

[00:02:11] Mapaa

[00:02:12] Shetani wampa nafasi ndani ya moyo wako

[00:02:19] Kumbuka kwa maobi yako nitasimama tena

[00:02:25] Na utapata baraka kutoka kwake mungu

[00:02:57] Maana heri mtu yule ambaye kinywa chake

[00:03:03] Ni kuwabariki wenzake na kiwaombea

[00:03:09] Maana maneno mabaya huchafua moyo

[00:03:15] Ukiwekwa mbali na mungu ni vyema uwe safi

[00:03:22] Ukiona niko kwenye shida niombee

[00:03:28] Ndoa yangu imevunjika wewe niombee

[00:03:34] Nikifukuzwa kazini ndugu niombee

[00:03:41] Magonjwa yananiandamaa niombee

[00:03:47] Biashara haina faida niombee

[00:03:53] Nikikawia kupata mtoto niombee

[00:04:00] Nimekuwa mtoto yatima niombee

[00:04:06] Ata nijapo kuwa mjane niombee

[00:04:12] Ujue kwa maobi yako mimi nitasimama tena

[00:04:18] Ujue kwa maobi yako nitabarikiwa

[00:04:25] Ujue kwa maobi yako mimi nitasimama tena

[00:04:31] Ujue kwa maobi yako nitabarikiwa

[00:05:03] Ujue kwa maobi yako mimi nitasimama tena

[00:05:09] Ujue kwa maobi yako nitabarikiwa

[00:05:15] Ujue kwa maobi yako mimi nitasimama tena

[00:05:22] Ujue kwa maobi yako nitabarikiwa

您可能还喜欢歌手Upendo Nkone的歌曲:

随机推荐歌词: