《Uniongoze Yesu》歌词

[00:00:00] Uniongoze Yesu - Upendo Nkone
[00:00:06] Uniongoze bado nakuhitaji
[00:00:13] Uniongoze yesu kiongozi mwema
[00:00:21] Moyo wangu nakuhitaji niongoze
[00:00:26] Nivuke salama Mungu wangu uniongoze
[00:00:35] Ulisema naposhindwa nikuite hivi leo nakuita nisikie
[00:00:49] Usiende mbali nami usiniache pekee yangu
[00:00:56] Mungu wangu uniongoze
[00:01:11] Dunia hii ina mabo mengi sana baba
[00:01:18] Sasa dhambi imetawala dunia
[00:01:25] Waliookoka wengine wanarudi nyuma
[00:01:32] Me napenda nikupendeze Mungu upendezwe nami
[00:01:39] Niyashike maagizo yako unifurahie
[00:01:46] Neno lako Yesu likae ndani yangu
[00:01:52] Uniongoze bado nakuhitaji
[00:01:59] Uniongoze yesu kiongozi mwema
[00:02:07] Moyo wangu nakuhitaji niongoze
[00:02:12] Nivuke salama Mungu wangu uniongoze
[00:02:19] Ulisema ulidema naposhindwa nikuite hivi leo nakuita nisikie
[00:02:35] Usiende mbali nami usiniache pekee yangu
[00:02:42] Mungu wangu uniongoze
[00:03:04] Kuna wengine wachanganya Mungu na dunia
[00:03:11] Na wengine wanalibadili neno lako
[00:03:17] Yesu ukisema na wao pia wanasema
[00:03:25] Me nataka nikusikie Yesu ukisema nami
[00:03:32] Maana wewe ndio wa thamani maishani mwangu
[00:03:39] Nguvu zako yesu zikae ndani yangu
[00:03:45] Uniongoze bado nakuhitaji
[00:03:52] Uniongoze yesu kiongozi mwema
[00:04:00] Moyo wangu nakuhitaji niongoze
[00:04:05] Nivuke salama Mungu wangu uniongoze
[00:04:13] Ulisema ulisema naposhindwa nikuite hivi leo nakuita nisikie
[00:04:28] Usiende mbali nami usiniache pekee yangu
[00:04:35] Mungu mungu wangu uniongoze
[00:04:49] Ni kweli bwana nimekutana na vita kali vita kali
[00:04:56] Lakini yesu umepigana badala yangu badala yangu
[00:05:03] Wewe umekuwa ni mwamba wa wokovu wangu
[00:05:11] Mbele yangu sijui kuna nini unipiganie
[00:05:17] Usipokuwa nami sitaweza kitu unishikilie
[00:05:25] Natamani sana nione uso wako Jemedari wangu
[00:05:31] Uniongoze bado nakuhitaji
[00:05:38] Uniongoze yesu kiongozi mwema kiongozi mwema
[00:05:46] Moyo wangu nakuhitaji niongoze
[00:05:51] Nivuke salama Mungu wangu uniongoze
[00:05:58] Ulisema ulisema ulisema naposhindwa nikuite hivi leo nakuita nisikie
[00:06:14] Usiende mbali nami usiniache pekee yangu
[00:06:21] Mungu wangu mungu wangu uniongoze
[00:06:55] Ulisema naposhindwa
[00:06:57] Ulisema naposhindwa nikuite hivi leo nakuita nisikie
[00:07:10] Usiende mbali nami usiniache pekee yangu
[00:07:18] Mungu wangu uniongoze
[00:07:23] Ulisema naposhindwa
[00:07:25] Ulisema naposhindwa nikuite hivi leo nakuita nisikie
[00:07:39] Usiende mbali nami usiniache pekee yangu
[00:07:46] Mungu wangu uniongoze
您可能还喜欢歌手Upendo Nkone的歌曲:
随机推荐歌词:
- 知己知彼(Europe Mix) [王菲]
- 睡吧 宝贝 [谭维维]
- Remind My Heart [Jennifer Rush]
- 我想知道爱是什么 [群星]
- Sincerely with Love [Lordi]
- 男人的汗 [闽南歌曲]
- 吸殻の風景 [さだまさし]
- めんどくせー歌 [遊助]
- My Pace [遊助&PES&マイコ]
- The More I See You [Sarah Vaughan]
- When I Get Low I Get High(Remastered) [Chick Webb]
- You’re Worth It All(Remaster) [Bobby Blue Bland]
- 你听过我写的歌吗 [苏一音]
- Don Giovanni, K.527, Act II, Scena quinta: Ah, signor! Per carita! (Leporello/Don Giovanni) [William Shimell&Samuel Ra]
- Let’s Be-Bop [REO Speedwagon]
- Les Comediens [Charles Aznavour]
- Misty [Milos Vujovic]
- Don’t Confess [Tegan And Sara]
- Se Nos Rompi El Amor [Rocio Jurado]
- 晚(Remix) [颜妹&寐加岛]
- Field, O My Field [The Red Army Choir]
- Baby (Feat. Puddy) [&Puddy]
- Funny How Time Slips Away [Willie Nelson]
- Schwarze Rose, Rosmarie [Peter Kraus]
- 爱么是梦吧 [张晓沫]
- To My Sorrow [Eddy Arnold]
- No Matter(Feat. DJ Tiz) [Haru Kid]
- 贝格尔号 [幽舞越山]
- 来吧爱情(Live) [卢庚戌]
- 骑着单车带你去旅行 [鲍文洋]
- 诀别(伴奏) [楠歌]
- Live for Today [Sweet]
- Dancing Queen [The New Musical Cast]
- (Live) [韩东根]
- Words [Hawk Nelson]
- 舍子花 [夏小皌]
- Slip Away [JORDAN HILL]
- Sweet Soul Music [Arthur Conley]
- Neuromancer [EMA]
- 幸福港湾 [胡灵]
- 失去的秘密(38秒铃声版) [曾祥程]