找歌词就来最浮云

《Heshimuni Wazazi》歌词

所属专辑: Malaika 歌手: Fadhili Williams Mdawida 时长: 04:13
Heshimuni Wazazi

[00:00:00] Heshimuni Wazazi - Fadhili Williams Mdawida

[00:00:06] Wazazi walikulea vizuri

[00:00:08] Ulipokuwa ungali mdogo

[00:00:11] Wazazi wako walikupenda

[00:00:14] Hata wewe ukawapenda sana

[00:00:17] Walikulea kwa gharama nyingi

[00:00:20] Wakajinyima na mengi ya dunia

[00:00:23] Kusudi utakapokuwa

[00:00:26] Uwe mtu wa maisha mema

[00:00:30] Sasa umeshateua

[00:00:32] Umeoa una watoto

[00:00:35] Mke wako anakuambia

[00:00:38] Wazazi wako ni wabaya sana

[00:01:06] Sasa hutaki kuwaona

[00:01:08] Wazazi wako hata kwa macho

[00:01:11] Huku mbuki gharama nyingi

[00:01:14] Walizokulea nazo

[00:01:18] Kijana toboa wazi

[00:01:20] Mama na mke ni yupi bora

[00:01:23] Kama mama hakukulea

[00:01:27] Hata mke hungelioa

[00:01:36] Kijana umesahau yote

[00:01:39] Wazazi waliokufanyia

[00:01:42] Umeweka bibi mbele

[00:01:45] Kuliko wazazi wako

[00:01:48] Oo hoo

[00:01:51] Sasa mke wako

[00:01:54] Anakugombanisha

[00:01:57] Na wazazi wako

[00:02:01] Oo hoo

[00:02:04] Hata anasema

[00:02:07] Wazazi wako

[00:02:10] Ni wachafu sana

[00:02:13] Oo hoo

[00:02:16] Sitaki kuwaona

[00:02:19] Hapa nyumbani kwangu

[00:02:22] Wataleta magonjwa

[00:02:25] Oo hoo

[00:02:29] Wee wanyamaza

[00:02:32] Kimya kama bubu

[00:02:35] Usije ukawachwa

[00:03:28] Anayekutukania mama

[00:03:31] Haki si mtu mwema

[00:03:34] Kama si mama kukulea

[00:03:37] Hungeliona dunia ya leo

[00:03:41] Kijana kumbuka

[00:03:44] Huwezi kupata

[00:03:47] Mama mwingine

[00:03:50] Kote duniani

[00:03:54] Lakini waweza

[00:03:57] Kupata mke mwingine

[00:04:00] Huwezi kupata

[00:04:04] Mama mwingine

您可能还喜欢歌手Fadhili Williams Mdawida的歌曲:

随机推荐歌词: