找歌词就来最浮云

《Asante Yesu》歌词

所属专辑: Kwa Msaada Wa Mungu 歌手: Martha Mwaipaja 时长: 07:37
Asante Yesu

[00:00:00] Asante Yesu - Martha Mwaipaja

[00:00:20] Asante bwana yesu kwa wema wako ulijitoa kwaajili

[00:00:28] Yetu kama usingelikuwa wewe maisha yetu yangelikuwaje

[00:00:40] Asante bwana yesu kwa wema wako ulijitoa kwaajili

[00:00:48] Yetu kama usingelikuwa wewe maisha yetu yangelikuwaje

[00:01:22] Wewe umetangaza pumziko la kweli kwamba wote wenye

[00:01:28] Mizigo waitue kwako kama sio wewe mwokozi kutupumzisha

[00:01:37] Mizigo yetu tungeitua wapi

[00:01:42] Tena umetanga kwa wenye magonjwa kwamba kwa kupigwa

[00:01:49] Kwako wote wamepona kama usingejitoa kupigwa mtini

[00:01:57] Wenye magonjwa wangeponywa na nani

[00:02:01] Tena umesema na wote wenye kilio kwamba siku moja

[00:02:08] Watanyamazishwa kama usingeyaona machozi ya wengi

[00:02:16] Nani angeweza kujinyamazisha mwenyewe

[00:02:20] Asante

[00:02:21] Asante bwana yesu kwa wema wako ulijitoa kwaajili

[00:02:29] Yetu kama usingelikuwa wewe maisha yetu yangelikuwaje

[00:02:42] Asante bwana yesu kwa wema wako ulijitoa kwaajili

[00:02:50] Yetu kama usingelikuwa wewe maisha yetu yangelikuwaje

[00:03:23] Hata kwa walioshushwa chini wewe

[00:03:26] Upo unamwinua mnyonge kutoka chini

[00:03:33] Unakichagua kionekacho dhaifu ili

[00:03:39] Upate kukiabisha chenye nguvu

[00:03:43] Hata katika shida tunazopitia umesema yesu hautotuacha

[00:03:54] Maana mkono wako si mfupi hata usiweze kututoa kwenye tabu

[00:04:04] Ni kweli tunapita kwenye misukosuko lakini tunajua

[00:04:11] Yesu wetu upo nasi maana umesema ni heri

[00:04:17] Wenye huzuni siku yao ipo watafarijika

[00:04:24] Asante bwana yesu kwa wema wako ulijitoa kwaajili

[00:04:33] Yetu kama usingelikuwa wewe maisha yetu yangelikuwaje

[00:04:45] Asante bwana yesu kwa wema wako ulijitoa kwaajili

[00:04:53] Yetu kama usingelikuwa wewe maisha yetu yangelikuwaje

[00:05:26] Hata kwa wasio na baba wewe upo umesema nikuite baba

[00:05:37] Kama usingeuona ukiwa wangu ni nani leo ningemwita baba

[00:05:47] Hata kwa mama yangu nimekuona umemvusha katika ujane wa

[00:05:55] Tabu kwa misukosuko mingi aliyopitia bila wewe yesu asingeliweza

[00:06:07] Wewe ni mungu utabaki kuwa mungu unatuwazia mawazo yaliyo mema ungekuwa

[00:06:18] Mwingi wa ghadhabu kwa wanadamu ni nani leo hii angesimama

[00:06:27] Asante bwana yesu kwa wema wako ulijitoa kwaajili

[00:06:36] Yetu kama usingelikuwa wewe maisha yetu yangelikuwaje

[00:06:49] Asante bwana yesu kwa wema wako ulijitoa kwaajili

[00:06:57] Yetu kama usingelikuwa wewe maisha yetu yangelikuwaje

您可能还喜欢歌手Martha Mwaipaja的歌曲:

随机推荐歌词: