找歌词就来最浮云

《Pendo La Ajabu》歌词

所属专辑: Alinitua 歌手: Jemmimah Thiong’o 时长: 04:39
Pendo La Ajabu

[00:00:01] Pendo La Ajabu - Jemmimah Thiong'o

[00:00:16] Yesu pendo lako ni pendo la ajabu

[00:00:20] Yesu pendo lako ni pendo la ajabu

[00:00:24] Yesu pendo lako ni pendo la ajabu

[00:00:29] Pendo ambalo sikupata ulimwenguni

[00:00:33] Nilizunguka nikitafuta rafiki

[00:00:37] Nukazunguka nikitafuta mpenzi

[00:00:41] Rafiki wote walikuwa ni waongo

[00:00:46] Naye mpenzi kageuka kuwa hasidi

[00:00:50] Waliniacha nikiwa hali mahututi

[00:00:54] Niliodhani kuwa ni rafiki zangu

[00:00:58] Naye mpenzi akaniharibia sifa

[00:01:02] Yesu akaja kwa kweli kaniokoa

[00:01:06] Yesu pendo lako ni pendo la ajabu

[00:01:11] Yesu pendo lako ni pendo la ajabu

[00:01:15] Yesu pendo lako ni pendo la ajabu

[00:01:19] Pendo ambalo sikupata ulimwenguni

[00:01:23] Na kitandani nilikuwa nimelazwa

[00:01:28] Marafiki wakanitazama kaenda

[00:01:32] Wakasema kweli huyu hawezi pona

[00:01:36] Lakini Yesu yeye hakuniacha

[00:01:40] Korokoroni kwa kweli mi nilipofungwa

[00:01:44] Hakuna aliyetaka kuhusishwa nami

[00:01:49] Hakuna ndugu aliyenitembelea

[00:01:53] Rafiki Yesu yeye hakuniacha

[00:01:57] Yesu pendo lako ni pendo la ajabu

[00:02:01] Yesu pendo lako ni pendo la ajabu

[00:02:05] Yesu pendo lako ni pendo la ajabu

[00:02:10] Pendo ambalo sikupata ulimwenguni

[00:02:14] Na isitoshe baada ya haya yote

[00:02:18] Kanionyesha dhambi zangu huyu mpenzi

[00:02:22] Akaniambia nikitubu taniokoa

[00:02:26] NIweke huru kisha anipe hai

[00:02:31] Niliopata kwa yesu ni ya ajabu

[00:02:35] Upendo huu sijapata kuona mwingine

[00:02:39] Sasa natangaza wote wakafahamu

[00:02:43] Pendo la Yesu ni pendo la ajabu

[00:02:47] Yesu pendo lako ni pendo la ajabu

[00:02:52] Yesu pendo lako ni pendo la ajabu

[00:02:56] Yesu pendo lako ni pendo la ajabu

[00:03:00] Pendo ambalo sikupata ulimwenguni

[00:03:04] Yesu pendo lako ni pendo la ajabu

[00:03:08] Yesu pendo lako ni pendo la ajabu

[00:03:13] Yesu pendo lako ni pendo la ajabu

[00:03:17] Pendo ambalo sikupata ulimwenguni

[00:03:38] Yesu pendo lako ni pendo la ajabu

[00:03:42] Yesu pendo lako ni pendo la ajabu

[00:03:46] Yesu pendo lako ni pendo la ajabu

[00:03:51] Pendo ambalo sikupata ulimwenguni

[00:03:55] Yesu pendo lako ni pendo la ajabu

[00:03:59] Yesu pendo lako ni pendo la ajabu

[00:04:03] Yesu pendo lako ni pendo la ajabu

[00:04:07] Pendo ambalo sikupata ulimwenguni

您可能还喜欢歌手Jemmimah Thiong’o的歌曲: