《Amenipanda》歌词
[00:00:01] Amenipanda - Jemmimah Thiong'o
[00:00:09] Bwana asema amenipanda mimi
[00:00:14] Kando ya mito yenye maji mengi
[00:00:19] Bwana asema amenipanda mimi
[00:00:24] Kando ya mito yenye maji mengi
[00:00:30] Ni Bwana alonipanda kwa mikono yake Baba
[00:00:35] Kando ya mito yenye rehema na baraka
[00:00:40] Kunipalilia Baba sikosi mbolea maji
[00:00:44] Naishi nikiamini siwezi nyauka nimepandwa ee
[00:00:50] Bwana asema amenipanda mimi
[00:00:55] Kando ya mito yenye maji mengi
[00:01:00] Bwana asema amenipanda mimi
[00:01:05] Kando ya mito yenye maji mengi
[00:01:10] Kweli Baba wa rehema amenipanda mimi
[00:01:15] Baraka zanifuata kokote niendako
[00:01:20] Amenipa uhai akalinda afya yangu
[00:01:25] Ndiposa nashuhudia sifa alozipanda Mungu wangu
[00:01:31] Bwana asema amenipanda mimi
[00:01:36] Kando ya mito yenye maji mengi
[00:01:41] Bwana asema amenipanda mimi
[00:01:46] Kando ya mito yenye maji mengi
[00:01:51] Imani ya wokovu Hushinda majaribu
[00:01:56] Hiyo ni baadhi ya mito nilopandwa kwayo
[00:02:01] Mambo yangu yote baba hupanga kwa utaratibu
[00:02:06] Kwa maana anijali aliyenipanda Mungu wangu wee
[00:02:12] Bwana asema amenipanda mimi
[00:02:17] Kando ya mito yenye maji mengi
[00:02:22] Bwana asema amenipanda mimi
[00:02:27] Kando ya mito yenye maji mengi
[00:02:32] Hakuna juu mbinguni wala chini duniani
[00:02:37] Anayeshinda Mungu muumba mpanzi wangu
[00:02:42] Hunizunguka mimi kwa damu ya mwanao
[00:02:47] Hunilinda vyema sipati madhara kwani nimepandwa ee
[00:02:53] Bwana asema amenipanda mimi
[00:02:58] Kando ya mito yenye maji mengi
[00:03:03] Bwana asema amenipanda mimi
[00:03:08] Kando ya mito yenye maji mengi
[00:03:13] Bwana asema amenipanda mimi
[00:03:18] Kando ya mito yenye maji mengi
[00:03:23] Bwana asema amenipanda mimi
[00:03:28] Kando ya mito yenye maji mengi
[00:03:33] Bwana asema amenipanda mimi
[00:03:38] Kando ya mito yenye maji mengi
[00:03:44] Bwana asema amenipanda mimi
[00:03:49] Kando ya mito yenye maji mengi
[00:03:54] Bwana asema amenipanda mimi
[00:03:59] Kando ya mito yenye maji mengi
[00:04:04] Bwana asema amenipanda mimi
[00:04:09] Kando ya mito yenye maji mengi
您可能还喜欢歌手Jemmimah Thiong’o的歌曲:
随机推荐歌词:
- Slum Beautiful [OutKast&Cee-Lo]
- Enchanted [Katy Rose]
- Intro [KMFDM]
- Poor Loser [Ricky Nelson]
- 厌倦 [东来东往]
- Free - New Version Radio Edit Fade [Natalia Kills&will.i.am]
- I’ll Never Get Tired Of You(LP版) [King’s X]
- Pilvenhattaroita [Kirsi Ranto]
- What Now My Love [Nana Mouskouri]
- Get Like Me [Hip Pop Nation]
- 这个夏天雨水特别多 [邵斌]
- King Of The Road [Boxcar Willie]
- Tres Regalos [Los Dandys]
- 另类人 [MC武帝]
- Bring It On(Explicit) [Hard-Fi]
- One Last Cigarette(Explicit Album Version) [Cypress Hill]
- My Last Words [Pain Confessor]
- Running Gun [Marty Robbins]
- Let’s Pretend There’s A Moon [Fats Waller & His Rhythm]
- The Fire [Myami]
- Re-Wired [Kasabian]
- 木兰从军(一)(二) [张露]
- Hello Mary Lou [Ricky Nelson]
- The Wreck Of Old ’97 [Johnny Cash]
- The Truth [Bei Maejor]
- NO.182笑话大咖秀-非逼得我使用化学武器 [主播阿楠]
- Easy Living [Marvin Gaye]
- I Could Never Be Ashamed Of You [Johnny Cash]
- Love Hangover [Pop Feast]
- Safe From Harm [The Heavy Band]
- Que Me Lleven A La Carcel [El Lobito de Sinaloa]
- Remember [Julie London]
- I Could Write a Book(Remastered 2015) [Dinah Washington]
- From Under The Dust(Album Version) [Letters to Cleo]
- Idolum [疯医]
- 当我说我是佛教徒 [群星]
- That’s Why I Cry [Buddy Knox]
- 到了最后 [白Ling]
- Who Asked You [Status Quo]
- 只要地球还有女人 [陈小春]
- 喝酒Blues(新编版) [张岭]