《Zigo Remix》歌词

[00:00:00] Zigo Remix - A.Y/Diamond Platnumz
[00:00:02] Written by:Ambwene Allen Yessayah
[00:00:19] Picha linaanza nishadata
[00:00:21] Picha linaanza nishawaka
[00:00:24] Picha linaanza nishachanganyikiwa
[00:00:26] Picha linaanza nishadaata
[00:00:27] Ooh na na
[00:00:30] Kweli mie
[00:00:31] Amenikamata
[00:00:33] Kwa jinsi navyomwangalia akinipatia
[00:00:36] Nami sitamuacha
[00:00:37] Kwa nyuma ananipa mineso
[00:00:40] Moyoni ananipa mateso
[00:00:42] Wa kishua ila mateendo ya ghetto
[00:00:44] Mtamu na hapendi vya dezo
[00:00:47] Nakulaa kwa macho
[00:00:49] 5 star gurl si mchezo
[00:00:52] Ebu ooona
[00:00:54] Ebu ooonaaa
[00:00:58] Kweli mie
[00:00:59] Amenikamata
[00:01:01] Kwa jinsi navyomwangalia akinipatia
[00:01:04] Nami sitamuacha
[00:01:05] Simbaa ah ah
[00:01:06] Na rangi flani ya kimanga
[00:01:08] Lugha lafudhi ya kitanga
[00:01:10] Usione akapita na khanga
[00:01:13] Nyuma figisu majanga
[00:01:15] Ana mwendo wa kungonya
[00:01:16] Tena alivyoshona
[00:01:17] Umbo kama katuini wa kuchora
[00:01:20] Ah singida dodoma
[00:01:21] Kitandani sodoma
[00:01:22] Kiuno kama nyuki dondora
[00:01:23] Maneno ya watu sumu yana hila
[00:01:26] Wasije leta urefarii ka mpira
[00:01:28] Chunga katu usije ukan'zira
[00:01:31] Nikashikwa na uchizi yaani utaahira
[00:01:32] Ruuuu
[00:01:33] Mtoto yaani mukidi mukide
[00:01:36] Mpaka ndani shikidi shikide
[00:01:38] Hasa akilick d lick de
[00:01:40] Ye ndo mama chibu d chibu deee
[00:01:42] Yeeeah
[00:01:44] Kweli mie
[00:01:46] Amenikamata
[00:01:48] Kwa jinsi navyomwangalia akinipatia
[00:01:50] Nami sitamuacha
[00:01:52] Too sexy too sexy ya man
[00:01:54] A y bushee bushee di ya man
[00:01:56] Mungu ameumba hapa yah man
[00:01:59] Natamani nikaseme nae yah man
[00:02:01] Too sexy too sexy ya man
[00:02:03] Bushee bushee di ya man
[00:02:06] Mungu ameumba hapa yah man
[00:02:08] Natamani nikaseme nae yah man
[00:02:11] Naamini amezaliwa ili mimi ni we naaye eh
[00:02:15] Mpaka sasa nimechanganyikiwa mpaka yeye awe na mi eh
[00:02:20] Mtoto yaani mukidi mukide
[00:02:22] Mpaka ndani shikidi shikide
[00:02:25] Hasa akilick d lick de
[00:02:27] Ye ndo mama chibu d chibu deee
[00:02:29] Naamini amezaliwa eh ili mimi ni we naaye eh
[00:02:34] Mpaka sasa nimechanganyikiwa mpaka yeye awe na mi eh
[00:02:39] Iwe iwe iwe
[00:02:41] Iwe iwe hii ndoto
[00:02:43] Mtamu mpaka utamu umepitiliza
[00:02:46] Akikaa na wengine wana chukiza
[00:02:48] She can lick d yah man
[00:02:51] Ngoja niongeze bidii yah man
[00:02:53] Ukute hili zali langu yah man
[00:02:55] Nikapige masinemaree yah man
[00:02:58] Sheya
[00:03:04] Yessayaaaah
[00:03:07] Nakula kwa macho
[00:03:10] Kwa macho
[00:03:12] Nakula kwa macho
[00:03:15] Kwa macho
[00:03:16] Nakula kwa macho
[00:03:19] Kwa macho
[00:03:23] Kweli mie
[00:03:24] Amenikamata
[00:03:25] Kwa jinsi navyomwangalia akinipatia
[00:03:28] Nami sitamuacha
您可能还喜欢歌手A.Y&Diamond Platnumz的歌曲:
随机推荐歌词:
- 再吻我吧 [刘德华]
- 我的爱 [孙燕姿]
- 冷雨夜 [Beyond]
- 我不等 [法蓝]
- 价格 [Manhand]
- Comprachicos [Pendulum]
- Car Crash [Artist Vs Poet]
- Valentine [Radical Something]
- To Be Number One [Summer 1990] [Giorgio Moroder]
- If You Gotta Go [The Flying Burrito Brothe]
- 红嘴黑鹎 [风潮唱片]
- 世纪末信徒 [零汐瞳]
- This Is The Day [Josh Wilson]
- 回忆让我怎么写 [许亚童]
- 被爱伤过的男人 [陈梓豪]
- Faithful(Live) [Go West]
- Wolf [999]
- Gee Baby, Ain’t I Good To You [Ella Fitzgerald]
- Engo Piranthom [anupraveen&arungopan&shan]
- Disappear Again [Furyon]
- Mother-In-Law [Ernie K-Doe]
- The Banana Boat Song [Chet Atkins]
- O Mrro (Feio, No Bonito) [Nara Leao]
- The Glory Of Love [The Platters]
- 我就是我不一样的烟火 [带泪的鱼(戴丽丽)]
- Sherry [The Four Seasons]
- GongXiFaCai Song(Live) [侧田]
- skrt [王极]
- Recordando Al Güerito [Enigma Norteno]
- Walk Through The Fire [Mary Gauthier]
- 同一个梦同一个家 [林距离]
- 女主角我做主 [沈志仲]
- 摇摆 [ALT&Summer]
- 彭祖之歌 [常生]
- Mi Ultimo Fracaso [Tito Rodriguez]
- 无题 [后俊]
- You Make It Seem So Easy [Ameritz Tribute Standards]
- 月亮可以代表我的心(Live) [杨坤]
- It Might as Well Be Spring [Milos Vujovic]
- 半天假 [许志安]
- 爱的呼唤 [郭富城]
- 跟上我的节奏 [孟飞]