《Mtegemee Yesu》歌词

[00:00:00] Mtegemee Yesu - Ambassadors Of Christ Choir
[00:00:16] Mambo mengi yakupata ndugu yanayokuumiza moyo
[00:00:23] Hata ukimwomba Mungu waona
[00:00:25] Kama vile amekutenga
[00:00:28] Maisha magumu shida tupu
[00:00:31] Wapepeshwa dunia nzima
[00:00:34] Unapapasa hapa na pale
[00:00:37] Bila kupata msaada
[00:00:40] Umeanza kukata tamaa imani yako inayumbayumba
[00:00:46] Unajisikia upweke umeachwa kama yatima
[00:00:52] Utokako ni mbali sana kiasi kwamba huwezi rudi
[00:00:58] Mbele huenda kunako giza umekosa matumaini
[00:01:03] Magumu shida yakupatayo ndugu ni ya muda kidogo
[00:01:09] Kamwe yasikutenganishe na yule rafiki wa kweli
[00:01:15] Hebu itegemee ahadi yake kwamba atakuwa nawe
[00:01:21] Hata kwenye wakati huo mgumu mtegemee Yesu
[00:01:27] Magumu shida yakupatayo ndugu ni ya muda kidogo
[00:01:33] Kamwe yasikutenganishe na yule rafiki wa kweli
[00:01:39] Hebu itegemee ahadi yake kwamba atakuwa nawe
[00:01:45] Hata kwenye wakati huo mgumu mtegemee Yesu
[00:02:14] Umesongwa nazo shida nyingi lakini mkumbuke Ayubu
[00:02:20] Alivyozidiwa nayo majaribu akasimama imara
[00:02:25] Japo yako imefanywa wimbo nao waumini wenzako
[00:02:31] Sawa na wale marafiki za Ayubu walivyomcheka
[00:02:37] Usiiruhusu shida yako kukunyakua mkononi mwa bwana
[00:02:43] Jibu lako ni yeye pekee tegemeo na kimbilio
[00:02:49] Hata wenzako wakutenge vumilia utayashinda ndugu
[00:02:55] Jipe moyo mtetezi yupo magumu atarahisisha
[00:03:00] Magumu shida yakupatayo ndugu ni ya muda kidogo
[00:03:06] Kamwe yasikutenganishe na yule rafiki wa kweli
[00:03:12] Hebu itegemee ahadi yake kwamba atakuwa nawe
[00:03:18] Hata kwenye wakati huo mgumu mtegemee Yesu
[00:03:24] Magumu shida yakupatayo ndugu ni ya muda kidogo
[00:03:30] Kamwe yasikutenganishe na yule rafiki wa kweli
[00:03:36] Hebu itegemee ahadi yake kwamba atakuwa nawe
[00:03:42] Hata kwenye wakati huo mgumu mtegemee Yesu
[00:03:47] Umeanza kukata tamaa imani yako inayumbayumba
[00:03:53] Unajisikia upweke umeachwa kama yatima
[00:03:59] Utokako ni mbali sana kiasi kwamba huwezi rudi
[00:04:05] Mbele huenda kunako giza umekosa matumaini
[00:04:11] Usiiruhusu shida yako kukunyakua mkononi mwa bwana
[00:04:17] Jibu lako ni yeye pekee tegemeo na kimbilio
[00:04:22] Hata wenzako wakutenge vumilia utayashinda ndugu
[00:04:28] Jipe moyo mtetezi yupo magumu atarahisisha
[00:04:34] Magumu shida yakupatayo ndugu ni ya muda kidogo
[00:04:40] Kamwe yasikutenganishe na yule rafiki wa kweli
[00:04:46] Hebu itegemee ahadi yake kwamba atakuwa nawe
[00:04:52] Hata kwenye wakati huo mgumu mtegemee Yesu
[00:04:58] Magumu shida yakupatayo ndugu ni ya muda kidogo
[00:05:04] Kamwe yasikutenganishe na yule rafiki wa kweli
[00:05:09] Hebu itegemee ahadi yake kwamba atakuwa nawe
[00:05:15] Hata kwenye wakati huo mgumu mtegemee Yesu
您可能还喜欢歌手Ambassadors Of Christ Cho的歌曲:
随机推荐歌词:
- 我的祖国 [刘紫玲]
- 19th Nervous Breakdown [The Rolling Stones]
- Long Hot Summer [Glenn Frey]
- Here Comes [INXS]
- Nothing ever makes me happy [globe]
- 活着 [天堂乐队]
- 流年(Live) [祝家家]
- In The Army Now [Status Quo]
- I Walk the Line [Johnny Cash]
- スターブレイカー (Star Breaker) [めらみぽっぷ]
- Billion [Mat Kearney]
- It Came Upon a Midnight Clear [Mario Lanza]
- Si Alguna Vez(Album Version) [Alejandro Fernández]
- Angel Eyes [Shirley Bassey]
- Cuesta Abajo [Carlos Gardel&Angel Varga]
- What’d I Say [Prestige Collection]
- Crying Blind [Jimmy Reed]
- Oh, How I Miss You Tonight [Frank Sinatra]
- Skin To Skin [Harry Belafonte]
- WANNA BE STARTIN’ SOMETHIN’(130 BPM) [Koka]
- Outside The Frame(Album Version) [Paul Brandt]
- Make Me Bad [Korn]
- Eye of the Tiger [Survivor]
- Lincoln Avenue [Train]
- Tu parles trop [Eddy Mitchell&Les Chausse]
- Searching(Acoustic Version) [Anouk]
- Let It Be [London Community Gospel C]
- Douce violence [Johnny Hallyday]
- You Really Got Me [Jive Bunny and the Master]
- For Auld Lang Syne [The Platters]
- Chuchos Callejeros [Kultama&Bebe]
- Perfidia (Bolero)(Bolero) [Nat King Cole]
- Ground Hog [The Dillards]
- Black Velvet [Graham Blvd.]
- Lay Your Hands On Me [The London Band]
- My Life Would Suck Without You(Breakdawner Vs Topless Radio Edit) [Nick Skitz]
- Al Desierto Con La Leo(En Vivo) [Los Reyes del Cuarteto]
- Graine d’ananar [Léo Ferré]
- Night and Day(Remastered 2016) [Oscar Peterson]
- I Want You...Dead [Wednesday 13]
- 櫻の園-[樱花园] [松田聖子]
- 短信铃音 [苹果]