《Ni Kwa Nini?》歌词

[00:00:00] Ni Kwa Nini? - Ambassadors Of Christ Choir
[00:00:12] Ni kwanini umeyaruhusu
[00:00:16] Ee Mungu mwenyez
[00:00:21] Yatusononeshe moyoni
[00:00:26] Kwanini unaruh
[00:00:31] Ona haya machozi Tazama tunavyolia
[00:00:40] Twajiuliza sana Bwana
[00:00:44] Ni kwanini uliyaruhusu
[00:00:51] Nikumbukapo usiku huo
[00:00:56] Usiku wa huzuni nyingi
[00:01:00] Ulipokubali Bwana kwamba
[00:01:05] Wenzetu wapumzike
[00:01:10] Najiuliza moyon
[00:01:14] Kwanini Bwana Mwenyezi
[00:01:20] Umeruhusu tusononeshwe kiasi
[00:01:26] Ki kueayalini
[00:01:28] Ni kwanini umeyaruhusu
[00:01:33] Ee Mungu mwenyez
[00:01:37] Yatusononeshe moyoni
[00:01:42] Kwanini unaruh su
[00:01:47] Ona haya machozi Tazama tunavyolia
[00:01:56] Twajiuliza sana Bwana
[00:02:00] Ni kwanini lulayani usu
[00:02:06] Mipuko ni ghafla
[00:02:10] Tulipovamiwa na mauti
[00:02:15] Bwana ulimruhusu Gautane
[00:02:19] Aiage dunia
[00:02:25] Ndugu Amosi Mansi kijana mnyenyekevu
[00:02:33] Twawakumbuka wote hatutawasahau
[00:02:41] Wane
[00:02:42] Ni kwanini umeyaruhusu
[00:02:46] Ee Mungu mwenyez
[00:02:51] Yatusononeshe moyoni
[00:02:55] Kwanini unaruh su
[00:03:01] Ona haya machozi Tazama tunavyolia
[00:03:10] Twajiuliza sana Bwana
[00:03:14] Ni kwanini uliyaruhusu
[00:03:20] Twahuzunika Bwana tena nawe wajua
[00:03:29] Lakini kwa hayo yote
[00:03:32] Chukuliwa kwa matendo mema
[00:03:38] Uliyoyakubali wale watumishi wako
[00:03:47] Wayatende katika siku hizo
[00:03:51] Chache za maisha
[00:03:56] Twayakumbuka matendo yenu
[00:04:05] Mema yasiyoelezeka
[00:04:10] Mliotena duniani
[00:04:15] Twawakumbuka tulivyoishi vizuri
[00:04:23] Kwa muda mlikuwa nasi hatutawasahau
[00:04:33] Twayakumbuka matendo yenu
[00:04:42] Mema yasiyoelezeka
[00:04:46] Mliotena duniani
[00:04:52] Twawakumbuka tulivyoishi vizuri
[00:05:00] Kwa muda mlikuwa nasi hatutawasahau
您可能还喜欢歌手Ambassadors Of Christ Cho的歌曲:
随机推荐歌词:
- Whenever I Say Your Name [Sting&Mary J. Blige]
- Jack Pot [Full Of Harmony]
- m·a·z·e [倖田來未]
- Muscles [Diana Ross]
- Do You Remember These(Live) [The Statler Brothers]
- 最爱这一天 [那英]
- 和弦 [蒋卓嘉]
- Avec une poignée de terre [Johnny Hallyday]
- Sweet Lorraine [Nat King Cole]
- 春风歌声(Remaster) [李碧华]
- Sala De Recepo [Cartola]
- 你可以简单的飞舞吗 [张羿凡]
- Three O`clock Blues [B.B. King]
- Like A Prayer(112 bpm Cardio) [Personal Trainer Mike]
- Best [Brand New Rockers]
- Mary Hamilton [Joan Baez]
- Do You Love Me [Dennis Brown]
- Do You Hear What I Hear? [Country Christmas Music A]
- Tristeza [Pereza]
- Saturday Night [1990s]
- 倾国倾城 [阿宝&欧阳夏丹]
- 再见亦是朋友 [姚斯婷]
- Turn the World Around [Eddy Arnold]
- Navidad Sin Ti [Jenni Rivera]
- Rosin the Bow [The Clancy Brothers&Tommy]
- Magia [Gustavo Cerati]
- Touch Of Your Lips [Frankie Laine]
- Don’t Get Around Much Any More [Ben Webster]
- Rockin’ Chair(Remaster) [Louis Armstrong & His Orc]
- 浪够了想回家 [张晓星]
- Don’t Break My Heart [陈近楠]
- (Feat. ) []
- Morgen [ivo Robic]
- 爱你久久 [尤雅]
- Revelation Song [Maranatha! Music]
- 我唱沂蒙山 [歌一生]
- Fieber [Christina Sturmer]
- Shocker! [The Toasters]
- Stomp Down Rider(Remastered) [Blind Willie McTell]
- So Long [汪明荃]
- 我们毕业了 [艾尼瓦尔江]
- Losing Game [Martin Kesici]