《Sayari》歌词

[00:00:00] Sayari - Ambassadors Of Christ Choir
[00:00:11] Sayari sayari eeh dunia
[00:00:17] Mbona wanipa hofu nyingi ewe dunia
[00:00:23] Yatokeao kwako ewe dunia
[00:00:29] Kila kukicha mambo hugeuka kuwa maongo
[00:00:34] Inawezekana umezeeka dunia
[00:00:40] Au wakaao ndani yako ndio wamezeeka
[00:00:46] Kila ufikapo ni vilio nifanyeaje
[00:00:52] Maafayawakabili wengi dunia wazeeka
[00:00:58] Sayari dunia uliumbwa wapendeza
[00:01:03] Lakini sasa watupeleka wapi
[00:01:09] Tunahangaika hatujui tuendako
[00:01:15] Ni mungu pekee ajuaye
[00:01:21] Sayari dunia uliumbwa wapendeza
[00:01:27] Lakini sasa watupeleka wapi
[00:01:33] Tunahangaika hatujui tuendakako
[00:01:38] Ni mungu pekee ajuaye
[00:01:45] Njaa majonjwa yasiyotibika
[00:01:51] Mambo yatisha eeh dunia waenda wapi
[00:01:57] Kila mahali ni jangwa twende wapi
[00:02:02] Rotuba nayo imeshatoweka sasa twende wapi
[00:02:08] Hali ya maisha ni ngumu sana kwa wote
[00:02:13] Kwa tajiri na maskini wote nisawa
[00:02:19] Uchumi wa dunia yote wayumbaa
[00:02:25] Ona mataifa makubwa yote nayo yajejereka
[00:02:31] Sayari dunia uliumbwa wapendeza
[00:02:37] Lakini sasa watupeleka wapi
[00:02:43] Tunahangaika hatujui tuendakako
[00:02:49] Ni mungu pekee ajuaye
[00:02:54] Sayari dunia uliumbwa wapendeza
[00:03:00] Lakini sasa watupeleka wapi
[00:03:06] Tunahangaika hatujui tuendakako
[00:03:12] Ni mungu pekee ajuaye
[00:03:42] Sayari dunia umechoka
[00:03:48] Na wakao ndani yao wote wamekuchoka
[00:03:54] Hakuna mzazi awezae kuvumilia
[00:03:59] Kuona mwanawe anakatwa kichwa kwa ajili ya kafara
[00:04:05] Damu za watu zimekua ni tamu
[00:04:11] Nionavyo si kawaida ewe dunia
[00:04:16] Tuyaonayo yanatisha dunia nayandyayo adyoy adyoy
[00:04:25] Oooh nahofu moyoni mwangu
[00:04:28] Sayari dunia uliumbwa wapendeza
[00:04:34] Lakini sasa watupeleka wapi
[00:04:40] Tunahangaika hatujui tuendako
[00:04:46] Ni mungu pekee ajuaye
[00:04:52] Sayari dunia uliumbwa wapendeza
[00:04:57] Lakini sasa watupeleka wapi
[00:05:03] Tunahangaika hatujui tuendakako
[00:05:09] Ni mungu pekee ajuaye
[00:05:16] Sayari dunia uliumbwa wapendeza
[00:05:21] Lakini sasa watupeleka wapi
[00:05:27] Tunahangaika hatujui tuendakako
[00:05:32] Ni mungu pekee ajuaye
[00:05:38] Tunahangaika hatujui tuendakako
[00:05:44] Ni mungu pekee ajuaye
[00:05:50] Tunahangaika hatujui tuendakako
[00:05:56] Ni mungu pekee ajuaye
您可能还喜欢歌手Ambassadors Of Christ Cho的歌曲:
随机推荐歌词:
- photograph [Santana]
- Duett [Rosenstolz]
- Thinking Of My Woman [John Mayall]
- Baby, Won’t You Please Come Home [Shirley Horn]
- Follow The Light(Digital Remaster) [Eloy]
- 爱像烛火随风转 [陈艾湄]
- 爱情是罪吗 [白智英]
- Bad(2012 Remaster) [Michael Jackson]
- Cuentame Un Cuento [Celtas Cortos]
- 爱的意义 [蒲晗]
- 2 Wheel Nation [Skraeckoedlan]
- P.S.我爱你(Live) [余姿昀]
- I Met Her Today [Elvis Presley]
- La Nuit Et Le Jour [Luke]
- Walking Dr. Bill (O_D) [B.B. King]
- La Lirio [Carlos Cano]
- To Be Alone [The Hilltoppers]
- Volare (Nel Blu di Pinto di Blu) [Gipsy Kings]
- It Takes Two [Yo Cappa]
- Jenny, Jenny(Remastered) [Little Richard]
- So Rare [Andy Williams]
- Old(So High)(Explicit) [Kottonmouth Kings]
- (火热的告别) [野狼王的士高]
- 我亲爱的母亲 [蔡其平]
- 茶醉三千场 [紫薇花儿]
- All Or Nothing At All [Frank Sinatra]
- Mambo Miam Miam [Serge Gainsbourg]
- Love Me [Fats Domino]
- Send Me The Pillow You Dream On [Johnny Tillotson]
- Give Me My Baby [Sam Salter]
- 电梯里的老婆婆 [哀家]
- 请让我一次哭够 [彤童]
- 回不去的爱(完整版)(Live) [廖金来]
- Ciego De Amor [Bachateros Domenicanos]
- 妈妈(29秒铃声版) [祁隆]
- Landslide [Robyn Sherwell]
- Secrets [Babyface&Kat Graham]
- All These Blues [The Paul Butterfield Blue]
- 落红泪 [孙露]
- 为你打拼 [童欣]