找歌词就来最浮云

《Ninantamani》歌词

所属专辑: Jina La Yesu (Remix) 歌手: Angela Chibalonza Muliri 时长: 04:35
Ninantamani

[00:00:00] Ninantamani - Angela Chibalonza Muliri

[00:00:27] Ninatamani nifanye mapenzi yake

[00:00:33] Ili nifike mbinguni kwa baba yangu

[00:00:38] Ninatamani niishi karibu naye

[00:00:44] Ili ninywe maji

[00:00:46] Maji ya uzima wa milele

[00:00:50] Yesu akasema mimi ndimi njia ya uzima

[00:00:56] Hakuna awezaye kufika kwa baba yangu

[00:01:00] Ila

[00:01:02] Ila kwangu mimi

[00:01:04] Mimi ndimi njia ya uzima

[00:01:06] Yesu akasema

[00:01:08] Yesu akasema mimi ndimi njia ya uzima

[00:01:13] Hakuna awezaye kufika kwa baba yangu

[00:01:18] Ila

[00:01:19] Ila kwangu mimi

[00:01:21] Mimi ndimi njia ya uzima

[00:01:25] Baba natamani nikuone

[00:01:31] Mbinguni

[00:01:31] Baba natamani nikuone

[00:01:37] Messiah natamani nikuone

[00:01:42] Maishani mwangu natamani nikuone

[00:01:48] Baba natamani nikuone

[00:01:54] Mbinguni

[00:02:12] Ninatamani niombe mbila kukoma

[00:02:18] Ili nifike mbinguni kwa baba yangu

[00:02:24] Ninatamani niyashinde majaribu

[00:02:30] Nifikwe taji

[00:02:32] Tajii ya uzima wa milele

[00:02:36] Yesu akasema mimi ni mkate wa uzima

[00:02:40] Atakaye nila

[00:02:41] Atakaye nila hataona kamwe njaa

[00:02:46] Mbali

[00:02:47] Mbali atakaa karibu nami milele

[00:02:52] Yesu akasema

[00:02:53] Yesu akasema mimi ni mkate wa uzima

[00:02:58] Atakaye nila

[00:03:00] Atakaye nila hataona kamwe njaa

[00:03:04] Mbali

[00:03:05] Mbali atakaa karibu nami milele

[00:03:11] Baba natamani nikuone

[00:03:17] Mbinguni

[00:03:17] Messiah natamani nikuone

[00:03:23] Maishani mwangu ninatamani nikuone

[00:03:28] Oh yesu ninatamani nikuone

[00:03:34] Mbinguni

[00:03:35] Messiah wangu ninatamani nikuone

[00:03:40] Mbinguni

[00:03:41] Baba natamani nikuone

[00:03:46] Kasini mwangu ninatamani nikuone

[00:03:52] Mbinguni

[00:03:53] Baba natamani nikuone

[00:03:58] Mbinguni

[00:03:59] Oh

[00:04:16] Oh baba natamani nikuone

[00:04:21] Mbinguni

[00:04:22] Messiah wangu natamani nokuone

[00:04:27] Mbinguni

[00:04:28] Nchi ya kenya tunatamani tukuone

您可能还喜欢歌手Angela Chibalonza Muliri的歌曲: