找歌词就来最浮云

《Usiku Mtakatifu》歌词

所属专辑: Nasikia Kengele Za Christmas 歌手: Kwaya Ya Uinjilisti Ya Vi 时长: 03:20
Usiku Mtakatifu

[00:00:00] Usiku Mtakatifu - Kwaya Ya Uinjilisti Ya Vijana Arusha Mjini

[00:00:44] Usiku mtakatifu

[00:00:50] Wengine walala

[00:00:55] Wakeshao ni Yosefu tu

[00:01:01] Na Maria waliomlind

[00:01:07] Yesu mwana mzuri

[00:01:13] Wula nela ha

[00:01:23] Usiku mtakatifu

[00:01:28] Wachunga wapewa

[00:01:34] Habari nzuri na malaika

[00:01:40] Zienezwe potepote sasa

[00:01:46] Yesu mponya kaja

[00:01:52] Yesu mponya kaja

[00:02:36] Usiku mtakatifu

[00:02:42] Siku ya furaha

[00:02:48] Imetuangaza KiMungu

[00:02:54] Tumepewa ukombozi

[00:03:00] Kristo amefika

[00:03:05] Kristo amefika

您可能还喜欢歌手Kwaya Ya Uinjilisti Ya Vi的歌曲: